MBAGO PRO
Karibu kwenye Mbago Pro, ambapo tunaleta hadithi zenye ubunifu, vichekesho vya kusisimua, na tamthilia za kipevu. MBAGO PRO ni kituo cha mtandaoni (Online Channel) kituo hiki kinajihusisha na urushaji wa video mbalimbali za sherehe na kutoa elimu kuhusu urembo kutoka kwa wataalamu husika, Lengo likiwa ni kupeleka elimu kwa jamii na wadau
Monica anapokea simu ya mchepuko wake, lakini habari anazopata zinamchanganya kabisa! Mchepuko wake anadai kuwa ana mimba yake, jambo linalotishia kuvuruga kila kitu. Je, Monica atajibu vipi? Ataficha ukweli au ukweli utajidhihirisha? Tazama clip hii ya kusisimua kutoka Haki ya Mapenzi!
Haki ya Mapenzi inasimulia hadithi ya mapenzi yenye changamoto na mvutano kati ya wawili wanaopigania upendo wao dhidi ya maadui wanaoingilia. Je, ni nani atakayepewa haki ya upendo katika dunia inayoshindwa kuona tofauti za kweli? Jiunge na sisi katika safari hii ya kipekee ya mapenzi, usaliti, na ujasiri. Episode ya kwanza inakuja hivi karibuni!
Subira anafunguka kuhusu wasanii anaowapenda! 🌟 Kwa nje, moyo wake unapenda uigizaji wa Seiran, nyota wa Golden Boy, lakini hapa Tanzania, anampenda Wema Sepetu kwa mvuto na kipaji chake. Je, unakubaliana naye? Tazama clip hii na tupe maoni yako! 👇
🔔 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa zaidi kutoka Mbago Pro!
#
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kibaha
61201