Bomani Goju Ryu karate do dojo

Bomani Goju Ryu karate do dojo

Share

Photos from Bomani Goju Ryu karate do dojo's post 03/01/2023

Bomani Traditional Okinawan Goju Ryu karate-do dojo

Tunawatangazia na kuwakaribisha kujiunga na mafunzo ya karate mtindo wa Goju Ryu kwa lengo la kujilinda na kujenga afya ya mwili na akili.

Kupitia Traditional Okinawan Goju Ryu karate-do mwanafunzi atajifunza Unyenyekevu, Nidhamu,Uadilifu na mfumo mzima wa maisha katika jamii inayomzunguka na hata Ikibidi kuwatetea wanyonge.

Taasisi yetu Inaendelea kusimamia na kufundisha Traditional Okinawan Goju Ryu karate-do kwa muda wa miaka zaidi ya 30 Nchini Tanzania kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.

Mwanafunzi atafanya mtihani atakaougharamia kila baada ya miezi 3 hadi 6 kutegemea juhudi yake.

Mwanafunzi atakaefaulu mtihani atapandishwa rank na kupewa Certificate itakayomtambulisha kimataifa.

Darasa litakuwa kila siku za wiki Monday to Friday saa 11:00 jioni hadi saa 2:00 Usiku.

Ikiwa mwanafunzi ameanza kufanya Matial arts kwa namna nyingine mf: Shotokan,Judo, Aikido, Taekwondo,wushu au boxing Tunamkaribisha miadhali awe tayari kufata Taratibu zetu..

Fomu ya kujiunga Tsh 10,000/= Ada ya uwanachama Tsh 10,000/= ada ya mwezi Tsh 30,000/=

Sare ya mazowezi (Karate GII)Tsh 50,000/= zinapatikana kwenye Club ila sio lazima ununue kwetu unaweza kununua kwengine popote.

Tunapokea wanafunzi wa aina zote wake kwa waume kuanzia wenye umri miaka 5 na kuendelea.

Tunapokea pia maombi kutoka Mashuleni,Vyuoni,kampuni za Ulinzi na government au private sector.Mwalimu atakuja na kutoa mafunzo baada ya makubaliano..

Mawasiliano+255714369338/+255688079757

Wasppp:+255714369338
Senpai S.Fikiri

17/12/2022

TOGKF World Chief Instructor, Higaonna Morio Sensei, 10th Dan

Want your business to be the top-listed Event/venue in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Kibaha Town Council
Kibaha

Opening Hours

Monday 05:30 - 20:00
Tuesday 05:30 - 20:00
Wednesday 05:30 - 20:00
Thursday 05:30 - 20:00
Friday 05:30 - 20:00