dalalitzee
05/05/2025
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.350 MILIONI, KINONDONI
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 420.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ina vyumba 3 vya ķulala (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ipo ndani ya Fensi na Parking ni kubwa na ya kutosha.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mgy
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
04/05/2025
NYUMBA YA VYUMBA VITATU(3) TSHS.800,000/MWEZI, SINZA.
Kwenye Kiwanja kuna nyumba kubwa na Apartments 2 lakini haziingiliani.
Huu ni upande unaoingia pekeyako.
Isipokuwa Parking tu ni ya witp.
Una Geti lako pekeyako.
Vyumba 3( Masta1 ) Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Umeme na Maji unajitegemea.
Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Ķuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mmD
02/05/2025
KUPANGA UTAKE WEWE SASA, NYUMBA YA TSHS. 15 MILIONI, MBAGALA KUU.
Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI.
Maboresho yanayohitajika ni madogo.
Na watu wanaishi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
02/05/2025
ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45 MILIONI, YOMBO VITUKA.
Hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.
Panafaa kuweka Jengo la kisasa la
Maduka ya BIASHARA (MAFREMU) au
Pamoja na Makazi.
Nyumba iliyopo ni YA KIZAMANI na ina.
●Vyumba 9 vya kulala na
●Frem za Duka 5.
Ukubwa ni Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
MUWEKEZAJI HAPA PANAFAA WAHI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kariakoo