SAMBAWIY TV
Habari yako karibu katika channel pendwa ya SAMBAWIY TV
Lengo ni kukufikishia habari burudani na elimu mbalimbali zinazohusu dini yetu na jamii yetu kwa ujumla
saport yako ni muhimu kwa kufatilia ku like kushare ku commnt na ku subscribe
ahsante karibu!!
π΄ ISLAMIC NEWS | SAMBAWIY TV π΄
ββ«β«β«β«β«β«β«β«β«β«β«β«
βMABADILIKO YA UONGOZI: USHEKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM
βBaraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limefanya mabadiliko katika uongozi wa kidini wa Mkoa wa Dar es Salaam:
ββͺ KUTENGULIWA:
Aliyekuwa Shekh wa Mkoa wa Dar es Salaam, SHEKH WALID ALHAD OMAR, ametenguliwa rasmi nafasi yake.
βπ΄ KUTEULIWA:
SHEKH ABASI ameteuliwa rasmi kukaimu nafasi hiyo kuanzia sasa.
ββ«β«β«β«β«β«β«β«β«β«β«β«
ββ« Endelea kufuatilia Sambawiy TV kwa habari za uhakika, uchambuzi, na undani wa mabadiliko haya mara tu yatakapowekwa wazi.
βπ¬ Nini maoni yako juu ya maamuzi haya? Tuandikie maoni yako hapa chini.
βπ΄ βͺ β«
β ShekhAlhad ShekhAbasi HabariZaKiislamu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Kariakoo