Shemar Line
18/04/2026
๐ UNAFUGA NG'OMBE? UNAUNDA PELLET? ๐
Usianze kiwanda chako kwa mguu mbaya mkuu.
Wafugaji wengi wananunua mashine hii ya pellet na kusahau silaha muhimu zaidi: MIZANI SAHI.
SIRI 3 ZA KIWANDA CHA PELLET KILICHOFANIKIWA:
1. PIMA MALIGHAFI KWA USAHIHI
Unahitaji mizani ya 50KG - 100KG kupima mahindi, mashudu, chumvi kwa uwiano sahihi. Ukikosea uwiano, mifugo haiongezeki.
2. PIMA MAGUNIA YA PELLET SAHI
Unahitaji Platform Scale 300KG kupima magunia yako ya 50KG au 100KG kabla ya kuuza. Mteja akilipia 50KG apate 50KG. Uaminifu unajengwa hapa.
Mashine inatengeneza pellet. Mizani inatengeneza PESA na UAMINIFU.
Tuna bundle maalum: Mashine ya Pellet + Platform Scale 300KG + Cheti. Unaokoa pesa na muda.
Unataka kuanza kiwanda chako? Tuongee WhatsApp: 0718 892 644
Mbuzi PelletMachine BiasharaTanzania Wafugaji
16/04/2026
Mteja anachukia kusubiri. Wewe unachukia hasara. โ๏ธ
Mizani ya Butcher DIGTAL 40KG ndio suluhisho:
โก๏ธ INAHESABU BEI PAPO HAPO - Weka nyama, andika 12,000, inakuonyesha pesa ya kulipwa
โ๏ธ 40KG | 5g - Pima kuanzia NYAMA/SAMAKI/hadi mzigo wa hoteli
๐งผ Tray ya Stainless - Safi, rahisi kufuta, haishiki kutu
๐ Umeme + Betri - Hakuna kusimama kazi stima zikipotea
OFISI: Kariakoo | Dhamana: Mwaka 1 | Usanidi: BURE
Acha kupiga hesabu na calculator pembeni. Acha wateja wapange foleni.
๐ฒ DM " sasa hivi. Stock inakwisha!
16/04/2026
WASAKA MIZANI WAJUMUIKENI HAPA ๐
Stoku mpya imeshuka.
KG 150, KG 300, KG 500 zote zipo.
Usiende mbali kutafuta.
Bei za jumla na rejareja zipo.
Mizani zetu nizakudumu %100
Tunadeliver | Mikoani tunatuma
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
MTAA WA MKUNGUNI/NYAMWEZI KARIAKOO
Kariakoo
000000
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 18:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 16:00 |