Southern Tanzania Elephant Program
Our mission is to secure a peaceful future for elephants in southern Tanzania. We support the protection efforts of rangers; work with farmers and the broader community to enhance coexistence with elephants; and advise on conservation of elephant corridors.
16/05/2026
๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐ง๐๐จ ๐ก๐๐๐ข ๐๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข: ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ณ๐๐๐๐ญ๐ก
Uhifadhi wa maeneo ya Tanzania yenye bioanuwai kubwa hauhitaji mikakati pekee, bali pia unahitaji ujasiri, kujitolea, na watu wenye dhamira ya kweli ya kulinda hifadhi zetu. Kutana na Elizabeth Masatu โ mmoja wa mashujaa wanaoleta mabadiliko kila siku kupitia juhudi zake za dhati katika uhifadhi.
Eliza alijiunga na shirika la STEP mwaka 2022 k**a mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo , na baadaye akawa Afisa Ushoroba, akisaidia urejeshwaji wa Shoroba ya Wanyamapori ya NyerereโUdzungwa katika Bonde la Kilombero. Mwaka 2024, alihamia Idara ya Uhifadhi ya STEP, ambako sasa anahudumu k**a Afisa Uhifadhi
Katika nafasi yake ya sasa, Eliza huratibu doria za pamoja na , na Askari wa Wanyamapori wa Vijiji katika maeneo matatu muhimu ya hifadhi, akisaidia kuimarisha juhudi za uhifadhi katika mandhari ya UdzungwaโKilombero. Pia anaongoza shughuli za chumba chaufuatiliaji cha STEP (control room), akisimamia mfumo wa EarthRanger kufuatilia timu za uwandani na kusaidia maamuzi ya haraka kwa ufanisi zaidi wa uhifadhi wa uwandani.
Eliza pia ni mhitimu wa programu ya Grumeti Fundโs Women in the Field. Akiwa nje ya kazi ya uhifadhi, Eliza hupendelea kusafiri, kutazama filamu, na kusikiliza muziki.
K**a spishi muhimu (keystone species) katika mfumo wa ikolojia, Eliza ana mchango mkubwa katika kuimarisha na kudumisha juhudi za uhifadhi ndani ya STEP. Tunajivunia kuwa naye katika timu yetu na kushirikiana naye katika safari hii ya uhifadhi yenye msukumo mkubwa.
09/05/2026
๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ง๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ข๐ฅ๐จ๐ฆ๐๐๐ซ๐จ
Kila mtoto mwenye ufahamu kuhusu wanyamapori leo, anachangia kujenga kesho salama zaidi kwa watu na mazingira.
Kupitia programu yetu ya uhamasishaji shuleni, wanafunzi wanaoishi karibu na maeneo ya hifadhi wanajifunza:
โ
Hatua za usalama wanapokutana na tembo
โ
Tahadhari wakati wa kukutana na wanyamapori
โ
Umuhimu wa kulinda mazingira na wanyamapori katika jamii zao
Hadi sasa, tumefundisha jumla ya masomo 6 katika shule 31, ikiwemo shule 8 za sekondari. Mwaka 2025 pekee, tumefundisha:
๐ Wanafunzi 4,907
๐ง Wasichana 2,486
๐ฆ Wavulana 2,421
Vipindi hivi vya mafunzo ya elimu vimetolewa na Mwezeshaji wetu wa idara ya Kuishi kwa Ushirikiano na Wanyamapori na Maisha Endelevu (Coexistence and Livelihoods), Beatrice Lihaku. Tunamshukuru kwa dhati Beatrice kwa kazi kubwa anayofanya katika kutoa mafunzo haya kote Bonde la Kilombero.
Hii ni zaidi ya elimu โ ni kujenga mustakabali ambapo watu na wanyamapori wanaweza kuishi pamoja kwa usalama na uendelevu.
02/05/2026
๐๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ซ๐ข๐ค๐๐ฅ๐ข ๐ณ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐: ๐๐๐ง๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Tarehe 10 Aprili 2026, hatua muhimu ilipatikana katika Ukanda wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa (NUWC) kwa kuanzishwa rasmi kwa K**ati ya Usimamizi ya Pamoja- Joint Management Committee (JMC) chini ya Kanuni za Maeneo ya Njia za Wanyamapori (ushoroba) za 2018. Hii ni hatua ya kuimarisha utawala wa ndani na uendelevu wa ushoroba wa kwanza wa wanyamapori uliotambuliwa kisheria Tanzania.
JMC inahusisha viongozi wa vijiji vya Sole, Mangโula A, na Kanyenja, pamoja na mamlaka za serikali na taasisi za uhifadhi k**a , , , , na Ofisi ya Wakili wa Halmashauri ya Ifakara ()chini ya uratibu wa STEP.
Baada ya mchakato wa uwazi wa uchaguzi na uapisho, uongozi uliundwa k**a ifuatavyo:
>Mwenyekiti โ Kijiji cha Sole
>Makamu Mwenyekiti โ TAWA
>Katibu โ Afisa Wanyamapori wa Wilaya (MNRT)
Uanzishwaji huu unaonesha wazi kuwa jamii ziko katikati ya maamuzi ya usimamizi wa ushoroba huu, zikishirikiana na serikali na wadau wa uhifadhi.
Kwa uratibu wa kwa kushirikiana na , JMC hii ni mfano wa uongozi wa kijamii unaolenga uhifadhi shirikishi na endelevu ambapo watu na wanyamapori wanaishi kwa pamoja kwa ustawi.
**atiYaUsimamiziYaPamoja
๐๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐: ๐๐๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ญ๐ฎ ๐ง๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, tunasherehekea wanawake wa STEP ambao wanachangia ujuzi wao na kujitolea kwao katika kujenga mustakabali ambapo asili na jamii vinaweza kustawi pamoja. ๐ฟ
Miongoni mwao kuna wanawake viongozi wanaoongoza idara zao kwa busara na maono, wakisaidia timu zao kukua huku wakiiimarisha taasisi kwa ujumla.
Pia tuna wanawake wanaofanya kazi uwandani, wakifanya tafiti, kusaidia kuboresha maisha ya jamii, kufanya uhifadhi katika hifadhi za asili na kushughulikia changamoto za migogoro kati ya binadamu na wanyamapori, ili kuhakikisha kuwa uhifadhi unaleta manufaa halisi kwa watu wanaoishi karibu na wanyamapori.
Wengine hufanya kazi nyuma ya pazia - ofisini, wakihakikisha fedha zinasimamiwa vizuri, ustawi wa wafanyakazi unazingatiwa, na ofisi zinabaki kuwa mahali pazuri pa kufanyia kazi. Jitihada zao zinawezesha shughuli za kila siku za STEP kuendelea vizuri.
Tunapotafakari kaulimbiu za mwaka huu โ๐๐๐ ๐. ๐๐จ๐๐ฌ๐. ๐๐๐ฉ๐ช๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐จ๐๐๐๐๐ฃ๐ ๐๐ค๐ฉ๐โ na โ๐๐ค๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฅ๐๐ฉ๐,โtunasherehekea na kushukuru kwa kujitoa kwao, uongozi bora, huduma safi, na mchango wao mkubwa wanaoutoa wanawake wa STEP na wanawake wote katika sekta ya uhifadhi kila siku. ๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐๐ง๐ข ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ง๐ ๐จ ๐ฐ๐๐ง๐ฎ ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข
24/02/2026
๐๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐๐ณ๐ ๐๐๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ณ๐๐ณ๐ข ๐๐ข๐ฃ๐๐๐ก๐จ ๐๐ก๐ ๐๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
Grace Mchome alijiunga na STEP mwaka 2022 k**a mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili kupitia programu yetu ya kujenga uwezo wa utafiti na ufuatiliaji, akipata mafunzo ya ukusanyaji na uchambuzi wa data pamoja na uandishi wa kisayansi chini ya usimamizi wa Dk. Josephine Smit.
Utafiti wake katika Bonde la Kilombero ulichunguza ufanisi wa vizuizi vya kuzuia tembo k**a uzio wa mizinga ya nyuki, bati na taa za sola, akitumia mitego ya kamera na mahojiano na wakulima.
Kwa maneno ya Grace mwenyewe:โ๐๐ช๐ฌ๐๐จ๐๐ก๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ข๐๐ ๐ ๐ช๐ก๐๐๐๐ฃ๐๐ ๐ช๐๐ช๐ฏ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ช ๐ฌ๐ ๐ข๐๐ฌ๐๐จ๐๐ก๐๐๐ฃ๐ค ๐ฃ๐ ๐ ๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐ช๐ ๐ช๐๐ก๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ช ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ช๐๐๐๐๐๐๐ - ๐ ๐ฌ๐๐ข๐๐ ๐จ๐๐ค ๐ฉ๐ช ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ช๐จ๐๐ข๐๐ข๐๐ฏ๐ ๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐๐ข๐๐ฅ๐ค๐ง๐ ๐ก๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฅ๐๐ ๐ ๐ช๐ ๐ช๐ฏ๐ ๐ช๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ข๐๐ ๐ฏ๐๐ก๐๐ฏ๐ค ๐ ๐๐ง๐๐๐ช ๐ฃ๐ ๐ข๐๐๐ฃ๐๐ค ๐ฎ๐๐ก๐๐ฎ๐ค๐๐๐๐๐๐๐๐ฌ๐.โ
Grace aliwasilisha matokeo yake kitaifa na kimataifa na ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ฉ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฃ๐๐ซ๐ข๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ซ๐จ๐ฉ๐ข๐๐๐ฅ ๐๐จ๐ง๐ฌ๐๐ซ๐ฏ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐๐๐ข๐๐ง๐๐. Mwaka 2025 baada ya kumaliza shahada yake ya Uzamili, alijiunga na STEP k**a Afisa wa MEL, ๐ง๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ง๐ข ๐๐ซ๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐๐ ๐๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ค๐๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐.
๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ซ๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ค๐ข๐ฌ๐ข ๐๐ก๐๐ฆ๐ข๐ซ๐ ๐ฒ๐๐ญ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐๐ณ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฏ๐ข๐ฉ๐๐ฃ๐ข ๐ฏ๐ฒ๐ ๐ง๐๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐ ๐ฆ๐ซ๐๐๐ฎ. Kwa kuimarisha utafiti, ujifunzaji na ushirikishwaji wa jamii, tunajenga kizazi kijacho cha wanasayansi wa uhifadhi watakaolinda mandhari yetu kwa miaka mingi ijayo.
๐๐จ๐ง๐ ๐๐ซ๐ ๐ฌ๐๐ง๐, ๐๐ซ๐๐๐! ๐๐ฟ ๐๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐ฎ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ง๐ข ๐ก๐๐ฆ๐๐ฌ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข.
#
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Address
P. O. Box 2494
Iringa