Buteo Tours
Buteo Tours is a family run, fully licensed, unique and ethical safari specialists travel company, based in Iringa, Southern Tanzania. We offer unique Tanzania wildlife safaris, mountaineering treks, cultural experiences, historical site visits and beach holiday escapes exclusively in Tanzania. We are passionate about our wildlife, tribal cultures and our mystical treasures that Tanzania has to of
Habarini marafiki zangu wote.
Naomba kuwapa Taarifa muhimu kuwa Account yangu ya Facebook kuna mtu mwenye Hila ameihaki na anaitumia anajiita (Tanzania Travels),Sasa ni miezi zaidi ya mitatu.Nawaomba sana kuweni makini,na Nawaomba Kwa Mnijurishe Kwa wakati mnapobaini kuna post zenye utovu wa maadili zikipostiwa,lakini pia na post zingine zozote zilizo kinyume na desturi yangu.
Poleni sana.
Linafanyiwa kazi hivyo ondoeni shaka.
Ahsanteni.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa
121213