Baba manka
21/07/2024
Boonge la party tunakutana kupartee KI-VIP Miaka sita ya Baba manka kwenye maiki kiingilio elifu 5 tu Tarehe 28 pale savannapub k**a ni msanii utapata nafasi ya kupata elimu jinsi ya kupata fedha kwenye digital platform na pia utapata nafasi ya kuperform ngoma zako pia utapata fursa ya promotion na interviews za kazi zako
Tiketi zinapatikana Nurufm no 0719431733
Inapewa nguvu na pocket wifi barber shops growth musicians recod
18/07/2024

07/07/2024
Kwenye kutoka home leo tutakuwa na tutakuwa nao mjengoni tukipiga nao story kuhusu mzikii wao na mzikii wa nyanda za juu kusini kwa ujumla.
Pia usisahau kudropisha Request ya nyimbo unayotaka kuiskilza ndani ya kutoka home kuanzia saa 7.00 jioni mpaka 9.00 usiku.
Endelea kutufuatilia zaidi kupitia
Instagram :
Facebook:Nurufmiringa93.5
Tiktok :nurutvdigital
Youtube:Nuru Digital Tv
Sikiliza LIVE: radio.tadio.co.tz/nuru-fm
21/05/2024
Usiishi k**a refa, kutafuta kasoro za watu, ishi k**a mchezaji kutafuta mafanikio yako.
15/04/2024
Who is this guy??? Why between my interview you are passing around????!
Niko LIVE Muda huu
📸
12/04/2024
Mtu poa kabisa mwenye upendo wake more life...more blessingsss....happy birthday my sisiter
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa