Kaka Wanted

Kaka Wanted

Share

07/03/2025

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PESA YOUTUBE!

Je, unataka kuwa na YouTube channel inayolipa? 🚀

Tarehe 17 Machi, nakuletea Darasa la YouTube Marketing Masterclass ndani ya WhatsApp Group!

✅ Utajifunza:
✔️ Jinsi ya kufungua YouTube channel ya kulipwa
✔️ Mbinu za kukuza channel yako haraka
✔️ Jinsi ya kutengeneza pesa na YouTube
✔️ Njia sahihi za kutoa pesa zako benki

⏳ Nafasi ni 50 Tu Jiunge sasa!
💰Darasa Linagharimu Tsh. 40000/= Tu badala ya 70000/=

📩 Jinsi ya kujiunga: Bonyeza hapa Link hapo chini au wasiliana nami WhatsApp 0656781501

Hii ni fursa ya kipekee kwa wale wanaotaka kutengeneza kipato cha kudumu mtandaoni! 🚀

05/09/2023

UNATAKA KUUZA SANA? SOMA KITABU HIKI.

ebook(softcopy-Kurasa 157)

Kitabu hiki kinawalenga wafanyabiashara wote ambao wanajitangaza kwenye mitandao Ya kijamii...

Iwe huduma au bidhaa...

Kitabu hiki ni msaada wa kuandika Caption/andiko/tangazo ili bidhaa au huduma iuzike kiurahisi baada ya kusoma tangazo la mfanyabiashara yoyote yule au mteja achukue hatua aliyoambiwa bila kulazimishwa kwa kusoma kilochoandikwa kwenye Tangazo.

Lakini pia kitabu hiki ni msaada kwa wanaotengeneza matangazo ya video kwani kitawasaidia kuandika script inayoshawishi ili kutengeneza Matangazo yao.

Na mwisho kitabu hiki ni msaada mkubwa kwa watengenezaji wa maudhui(Videos)Kwenye mtandao wa Youtube na mitandao mingine yenye matumizi ya video kwani kinakurahisishia kuandika Title/kichwa cha habari yenye mvuto ya kufanya kila anayekutana na video yako imshawishi kuitazama

kitabu hiki kina thamani ya 50000 ila sada unaweza kukipata kwa bei ya OFA YA MUDA MFUPI TSH. 13900/= Unaweza fanya malipo kupitia 0656781501(Ezrah Mhonda) na kuja whatsapp kupitia namba 0656781501 ili nikutumie kitabu chako

Ukisoma halafu ukiona hupati matokeo kwa miezi 6 mfululizo basi nitakurudishia pesa zako zote bila kukuuliza swali

Want your business to be the top-listed Bakery in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mkolani
Iringa