Mastory Club

Mastory Club

Share

26/03/2026

Being Cooked

Photos from Daily Trending's post 20/06/2025

Ukistahajabu Ya Dj eXii unatayaona ya walimwengu.

Fumanizi hili Guest house Iringa

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali k**a unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

03/03/2025

TAMBARA: KABZAA (2023)

▪️ Genre: Action, Crime, Drama
▪️ Date: 17 March 2023
▪️ Rate: 6.1/10 IMDb
▪️ Origin: India
▪️ Time: 2h 16m

SHORT STORY​

Filamu hii inamhusu Arkeshwara, mwanajeshi wa Jeshi la Anga ambaye maisha yake yanabadilika ghafla baada ya baba yake, aliyekuwa mwanaharakati, kuuawa kikatili na magenge yenye nguvu. Mauaji hayo yanamfanya Arkeshwara kuingia katika ulimwengu wa giza, ambapo vita vya madaraka, hila na usaliti vinatawala.

Kadri anavyojizatiti kulipiza kisasi, ndivyo anajikuta akivutwa zaidi ndani ya mfumo wa uhalifu na hatimaye kuwa mmoja wa watu wenye nguvu kubwa katika ulimwengu huo. Lakini safari yake haikuwa rahisi hata kidogo.

Anakabiliwa na maadui wenye nguvu, na usaliti kutoka kwa wale aliokuwa akiwamini, na mzigo wa damu inayomwagika kutokana na matendo yake.

Wakati anapanda hadi kileleni mwa utawala wa giza, Arkeshwara anaanza kupoteza uhalisia wa mtu aliyekuwa hapo awali. Je, ataweza kudhibiti mamlaka aliyoyapata au itakuwa chanzo cha kuanguka kwake? Na je, atapata haki aliyokuwa akiitafuta au ataishia kuwa sehemu ya giza?

MAIN CHARACTERS​

▪️ Upendra - Arkeshwara
▪️ Sudeep
▪️ Shriya Saran
▪️ Murali Sharma
▪️ Dhananjaya

Want your business to be the top-listed Shop in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Telephone

Address


Mwanza
09