TEC

TEC

Share

19/10/2024
19/10/2024

Karibu sana wanafunzi pamoja na wazazi katika ukurasa huu wa ushindani wa mitihani mbalimbali kila week

18/09/2017

Habari njema kwa wakaazi wa Mbeya
Sasa tumefungua tawi letu ndani ya viwanja vya nane nane jiji la Mbeya.

Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe 30/09/2017 tutakuwa na mitihani ya kujipima kwa kidato cha kwanza, pili na tatu kwa masomo ya Mathematics, Geography na History bure kabisa. Kila mwanafunzi atapewa matokeo yake na kufanyiwa masahihisho ya mitihani yote.

Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao ajipime, ni bure kabisa hakuna malipo. Pia kuanzia 1/10/2017 tutaanza kufundisha masomo yote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Kwa maelezo zaidi piga 0767 466 761

Photos from TEC's post 19/02/2017

Mnunulie mwanao kitabu hiki kwa wanafunzi wa English Medium Darasa la 5 -7. Kina test 20 na kila test ina maswali na majibu 50.
Pia tunaitaji mawakala wa kusambaza kitabu hiki mikoani. Piga 0767466761

Want your school to be the top-listed School/college in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Twiga Street
Geita

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00