Royal Agro-school

Royal Agro-school

Share

12/01/2024

Unapenda kula???
Unasuburi nini???
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???

08/05/2023

Mimi ni kilimo, kilimo ni mimi🌾🌻🌱

03/05/2023

Baada ya palizi la kwanza, mahindi hushambuliwa na wadudu aina ya viwavi ambao huharibu majani na kiharibu mmea wa hindi kabisa,,hivyo mkukima unashauriwa kupulizia dawa ya kuulia wadudu hao ili kuruhusu mahindi yako kukua kwenda hatua ya pili ya kuzaa pingili za mmea wakeπŸ™πŸ™usikose post zinazofata zitazohusu matumizi ya chemikali za kilimo...

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Geita