Kinka Computer
24/04/2026
Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! πβ¨
Mashine ya kazi kweliβipo fasta, imara na inafanya kazi zako zote bila kusuasua π
π» Jipatie Computer Complete:
πΉ HP Z210
πΉ HDD 500GB
πΉ RAM 4GB
πΉ Monitor 24β
πΉ Keyboard & Mouse
π° Bei ni nafuu sana + unapata punguzo la kipekee π
π Inafaa kwa:
β Ofisini
β Biashara (Cyber, Library, Studio, Printing, nk)
β Matumizi ya nyumbani na masomo
πΌ BONUS:
Pata mabango HD tayari yameandaliwa kabisa β unafika unachagua, hakuna kusubiri foleni!
π² Wahi mapema uwe wa kwanza kupata ofa hii kabla hazijaisha!
18/03/2026
π£ UTAMBULISHO RASMI WA WAGENI WETU WAPYA HAPA OFISINI KWETU! ππ»
Ni wakati wa kupandisha kiwango cha utendaji kazini! Tunajivunia kuwatambulisha rasmi mashujaa wapya waliowasili:
π₯ HP i2 Tower β Imara, yenye kasi na inayokidhi mahitaji ya ofisi, biashara, matumizi ya ofisini na studio.
π HP Z210 Tower β (2nd Gen) Workstation yenye nguvu kwa kazi nzito k**a graphics, editing, designing na programing.
β
Performance ya kuaminika
β
Muundo imara na wa kisasa
β
Uwekezaji sahihi kwa kazi zako
Usikubali kubaki nyuma kiteknolojia! π₯
Fanya maamuzi sahihi leo, boresha mazingira yako ya kazi na ongeza tija mara dufu.
π Karibu ofisini kwetu ujionee mwenyewe uwezo wa vifaa hivi na uchague kinachokufaa.
TunakuKaribisha leo! π€πΌ
0764611871
15/03/2026
πβ¨ Ukiwa unajiandaa kumpokea mgeni wetu mpya hapa dukani kwetuβ¦ ποΈπ
Hakikisha umefollow page na channel zetu rasmi β
ili usikose picha πΈ, video π₯ ofa maalum, matangazo na taarifa zote muhimu π° za matukio yanayoendelea hapa dukani kwetu π¬π₯
Bonyeza link moja kwa moja itakayokupeleka ππ
π’ WhatsApp Official News Channel π²
https://whatsapp.com/channel/0029VaFGq3q2P59muA0CxF3oβ οΏ½
π΅ TikTok π¬
https://vm.tiktok.com/ZS911WSLQjJGv-lGn6r/β οΏ½
π Facebook π
https://www.facebook.com/Copyright.KinkaMedia2023β οΏ½
πΈ Instagram π
https://www.instagram.com/kinkacomputer?igsh=MWQ3M3licnY0ZXJjbw==β οΏ½
π’ Computer π»π₯
π Stay connected nasi kwa updates zote muhimu!
π€ 0764611871
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kinka Movies Bugulula
Geita
2022
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 21:00 |
| Tuesday | 08:00 - 21:00 |
| Wednesday | 09:00 - 21:00 |
| Thursday | 08:00 - 21:00 |
| Friday | 08:00 - 21:00 |
| Sunday | 10:00 - 16:00 |