Pallone Tz

Pallone Tz

Share

13/03/2019

Tumia Muda wako Vizuri...Mafanikio yapo Mikononi Mwako

26/05/2016

Taarifa kutoka klabu ya yanga inasema, Makamu mwenyekiti wa Yanga sc Clement sanga amesisitiza kwamba Hans van der pluim wameshakubaliana naye na watampa mkataba mnono.

11/01/2016

Huyu ndiye king leonel messi.
Amefikisha ya tano Fifa ball d'or pongezi kwake

11/01/2016

FIFA BALL D'OR INAANGUKIA KWA NANI?
Neymar, Christiano ronaldo na Leonel Messi nani atachukua?_____

Photos 05/01/2016

Tofauti kati ya Leonel Messi na Christiano ronaldo kwa mwaka 2015.

Nikianza na Leonel messi
¤Katika mwaka 2014-2015 ameweza kubeba makombe 3 pamoja na mataji mawili super cup na Club world cup.
¤Katika timu yake ya Fc Barcelona amefanikiwa kufunga
*Magoli 48
*Assists 23
*Mechi 54 zote alizocheza.

¤Katika timu ya taifa argentina leonel messi amefanya yafuatayo
*Kafunga magoli 4
*Assists 3
*Mechi 8 alizocheza.
***********
Tukija kwa Cristiano ronaldo.
¤Katika mwaka 2015 amefanikiwa kushinda tuzo ya Fifa Ball d'or na European Golden boot {mfungaji bora wa ulaya.
¤Katika timu yake ya Real madrid kafanya yafuatayo.
*Kafunga magoli 57
*Assists 18
*Mechi 58 alizocheza.

¤Katika timu ya taifa ureno kafanya yafuatayo.
*kafunga magoli 3
*Assist 0
*Mechi 5 alizocheza.

katika mwaka 2015 katika vilabu vyao na timu yataifa kiujumla wamefanya haya
¤Leonel mess katka mechi zote pamoja na zatimu ya taifa kafunga mabao 52, katoa assists 26 nakucheza michezo yote 62.
¤Tukija kwa ronaldo katka mechi zake zote madrid na ureno Kafunga mabao 57, assists 18 na michezo 58.

Kwa mwaka 2015 nani mkali wa mwenzake?

Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Bomang'ombe
Dodoma