MC Rhevan
10/04/2025
HARAMBEE KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KITERERE.
Tunamshukuru MUNGU kwa kufanikisha HARAMBEE yetu zaidi ya Shilingi Millioni Ishirini na MojaFedha Tasimilu za Kitanzania zilipatikana kwa ajili ya Ka*i ya MUNGU.
Nitumie wasaa huu kuwashukuru Sanaa Ndugu, Jamaa na Marafiki wote walioungana pamoja nasi kufanikisha kazi hii ya Mungu. MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUWABARIKI KILA SIKU.
08/04/2025
Zimebaki siku NNE TU. Washereheshaji wote Tanzania tukutane Arusha.
Usikose fursa hii ya kushiriki kongamano kubwa la kipekee na ziara ya utalii Arusha 2025.
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Makole/Dodoma
Dodoma