House Plan Design

House Plan Design

Share

Kusanifu na kuchora ramani za nyumba aina zote na kuandaa michoro yote kwa ajili ya ujenzi bei inaanzia 150,000
2.

21/02/2023

Hamna mtu anahitaji ramani ya nyumba humu.

Photos from House Plan Design's post 19/02/2023

RAMANI YA NYUMBA YA VYUMBA TATU.
Ina 👉Vyumba vitatu, chumba kimoja ni master
👉Sebule, jiko, stoo na choo cha public
👉Tofali 2800 na bati 128
Bei ya ramani ni 220,000/= (Inaweza kupungua au kuongezeka)
Kuona video na mpangilio wa vyumba ingia hapa>>>https://youtu.be/ITMWwhBxtmc

15/02/2023

Nani nimchoree ramani ya nyumba kwa bei nafuu kabisa.

Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Uzunguni
Dodoma
33000