Queen Mother

Queen Mother

Share

03/06/2026

Mwanza mwanza mwanza tutakua pale kisesa na hii hizi product

coshampoo yakufika mvi hapo hapo ukinawia tu mvi zote zinapotea hii haiachi rangi nyeusi kwenye ngozi na box lake ni lakutumia mwaka mzima utapaka mar moja kwa mwezi au mara mbili.
Bei ni elf 40,000

ukichukua na raxe hair vitamini hii itakusaidai kuzuia mvi zisiongezekee na zitakua zinapotea moja moja sababu hii ni rutuba na mwisho hazitarudi tena mpaka uzeeni
Raxe hair vitamin

Raxe hair vitamin Ni lishe na rutuba ya vywele ina kila kitu ambacho nywele inahitaji kula nywele yako itakua bora mara tatu zaidi ya ubora wakawaida
đź’Žkujaza nywele, upara na ndevu
đź’Žkutoa mvi zote
đź’Žkutoa mba wote
đź’Žkutoa mapunye
đź’Žkukausha vidonda
đź’Žkulainisha nywele kipilipili
đź’Žkukuza nywele zilizodumaa
đź’Žkuzuia nywele kukatika kichwani
đź’Žkuzipa nywele weusi na afya vizuri
💎kutoa ukavu wa nywele na kuzipa mng’ao vizuri

Bei ni elf 25,000
NB: Anapaka mwenye Nywele za Dawa na Natural wote wanatumia.
Pia zinapatikana dodoma na dareslama tupigie 0688210208

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dodoma
Dodoma