Isdory Nyoni

Isdory Nyoni

Share

18/04/2023
Isdory Nyoni 25/05/2022

Shamba Ekari 5 linauzwa ndani ya mipaka ya Jiji la Dodoma lipo uelekeo wa Makutupora umbali mfupi kutoka ringroad na uwanja wa ndege wa Msalato. Shamba lìnafaa kwa kilimo cha matunda aina zote, zabibu, mahindi, maboga, mtama, ufuta, uwele, na maji ya kisima yanapatikana kina kifupi. Pia linaweza kupimwa viwanja vya makazi kwani lipo kwenye barabara ya makutupora - Hombolo
Bei Milioni 10.

Isdory Nyoni Education

Want your school to be the top-listed School/college in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Ntyuka
Dodoma