Ofisi ya Rais-UTUMISHI

Ofisi ya Rais-UTUMISHI

Share

Photos from Ofisi ya Rais-UTUMISHI's post 03/06/2026

Kikao kazi cha siku tatu cha Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kinahitimishwa leo tarehe 3 Juni, 2026 jijini Dodoma na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray.

Kikao Kazi hicho kilifunguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ambapo katika siku hizo tatu washiriki wamepewa uelewa wa namna ya kuimarisha utawala na usimamizi wa rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma.

Photos from Ofisi ya Rais-UTUMISHI's post 02/06/2026

WEBINAR JUNE 2, 2026

Want your organization to be the top-listed Government Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


670
Dodoma