AFYA kwanza
20/11/2022
UFAHAMU ZAIDI MMEA UNAOFAHAMIKA K**A NIGELLA SATIVA
Mmea huu unapatikana zaidi katika mabara ya Asia
NI mmea ambao umekua ukitumika Sana kwa miaka mingi K**a tiba
Mmea huu unauwezo wa kutatua matatizo mengi Sana katika mwili wa binadamu kutokana na Matumizi yake tofauti tofauti
Mafuta yake pamoja na unga wake vimekua na matokeo makubwa Sana hasa kwa watu wenye matatizo K**a
✓kisukari
✓pressure
✓ini
✓figo
✓bawasili
✓tezi dume
✓vidonda vya tumbo
✓nguvu za kiume
✓kushindwa kutungisha au kubeba ujauzito
✓mimba kuharibika .na mengineyo
MATUMIZI yake NI Mara moja au Mara mbili kwa siku kutokana na tatizo la mgonjwa.
Gharama yake chupa moja NI kiasi Cha shilingi 25,000/=
Kwa ushauri zaidi wasiliana na daktari
📞0717547978
01/11/2022
PID(pelvic inflimatory desease)
PID NI ugonjwa unaowashambulia Akina mama(wanawake).unaoshambulia via vya UZAZI vya mwanamke K**a Mirija ya uzazi(fallopian tubes) au shingo ya KIZAZI(cervix)
asilimia 90 ya wanawake wanaopatwa ugonjwa huu tayari wanakua wameshavunja ungo.
Mwanamke anaweza hisi shida K**a maumivu CHINI ya kitovu,maumivu ya mgongo na kiuno,hedhi isiyo na mpangilio,kutoka uchafu sehemu za Siri wenye harufu Kali,kukosa hamu ya tendo,kupata MAUMIVU wakati wa tendo,mimba kuharibika,kushindwa kupata ujauzito,kua na uke mkavu nk
Anaweza kua ukipuuza lakini matokeo hayo yanahashiria kua mfuko wa kizazi unamatatizo na hayo ndio matokeo yake
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Majengo Sokoni
Dodoma