CityMax BookShop

CityMax BookShop

Share

18/04/2025

JENGA UWEZO, ONGEZA MAPATO

Mpenyo wa Pasaka

Habari ndugu mpendwa! Umepanga kufanya nini Pasaka Holiday? Tafadhali,ninakusihi utumie muda huu kujitafakari;
👉Je,nini kusudi langu la kuzaliwa?
👉Ninataka kuwa nani?
👉Je,nifanye nini ili kuongeza UFANISI, UBORA na TIJA?

Leo ningependa ku-share na wewe siri kuu 7 za Mafanikio zilizojificha katika Falsafa ya ThinkSMARRTT
🎯S-search for your PURPOSE
🎯M-maintain your DETERMINATION
🎯A-action PLAN
🎯R-rationalize (Value/Quality)
🎯R-read for Soft Skills (Soar)
🎯T-take CONTROL
🎯T-train others (legacy,reproduce,distribute).

Ninakusihi utumie Pasaka holiday kusoma kitabu cha Jenga Uwezo👆 ili kuelewa kwa kina Falsafa ya ThinkSMARRTT ili kujenga UWEZO wako, kujiongezea thamani na kuishi ndoto yako.Hakika Mafanikio ni matokeo.

Pata nakala yako leo👆 Lipia kwenda namba 0767129875(Godian Dyanka) Kisha tuma uthibitisho wa muamala ili utumiwe nakala yako.

Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida. Kuwa Mtu wa Tofauti UNAWEZA

By Godian Dyanka # (QHSE) Consultant & Author🤝

16/12/2024

Champion wa NGUVU

14/12/2024

The Law of success kinapatikana citymax bookshop Tanzania 0753-690907 au 0755100502 0755100503

14/12/2024

*NGUVU YA MALENGO 2025*

*Semina,Semina,Semina Dodoma*🇹🇿🔥📢🤝

Na Wakufunzi;
1. GODIAN DYANKA
2. PATSON CHAULA
3. VICTOR MWAMBENE
4. GLORY KWAYU
5. MGENI RASMI KATIKA TUKIO HILO NI MH. GODFREY PINDA (NAIBU WAZIRI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI.)

Malengo humuwezesha mtu kutawala na kudhibiti maisha yake "Sense of Control" Kuishi bila malengo ni kuchagua kuishi k**a nyani na kukubali kuwa mtumwa wa ndoto za watu wengine.*Weka Malengo,tawala na kudhibiti maisha yako*

*Kumbuka:* Umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na kupewa kipaji,talanta na uwezo maalumu.UNAWEZA!

Ndugu mpambanaji, sasa ni wakati sahihi kupata mafunzo sahihi kutoka wataalamu na wazoefu ili kujifunza *Siri, Kanuni na Mbinu* za Mafanikio ili kukujengea UWEZO na kuishi ndoto yako.

Hakika hii ni semina adhimu,hakikisha unahudhuria ili ubadili maisha yako.

UKUMBI: Kavilam Social Hall
TAREHE: 21/12/2024
MUDA: 3:00ASB-11:00JIN

Chukua hatua leo, JISAJILI kwa kubofya link hii👇
https://chat.whatsapp.com/CLmVQ4JTccC42GpSRX2h80

*Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida, Kuwa Mtu wa Tofauti* UNAWEZA!

Tukutane Dodoma💪

*ThinkSMARRTT!* Pamoja Tunaweza Zaidi 👍🎯👑

Want your business to be the top-listed Shop in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


321
Dodoma