Baraca Gideon

Baraca Gideon

Share

02/01/2026

2026....

30/12/2025

It's tomorrow

Upo mwanza 🔥

22/12/2025

This coming Sunday ⚽️❤
Kunaenda kuwa na jambo la kihistoria, kwa mara ya kwanza vijana wa kanisa la na vijana kanisa la , tunakwenda kuwa na wasaa mzuri wa kubond kwa njia ya michezo ,

Labda niseme hivi kidogo

Michezo inatukutanisha vijana wa kanisani kwa upana na kwa kina zaidi ya tunavyoweza kufikiri. Si suala la kukimbia, kupiga mpira, au kushindana tu, bali ni jukwaa la kujenga ushirika wa kweli,karibu, mahali ambapo tunafahamiana,matabaka yanaondolewa,udhehebu , na mahusiano ya kudumu yanazaliwa. Kwenye uwanja wa michezo tunajifunza maana ya umoja katika tofauti, kuvumiliana, kuheshimiana, kusameheana, na kusimama pamoja bila kujali nani ameshinda au nani amekwama.
Hapa ndipo vijana wanapopata nafasi ya kujieleza, kufungua mioyo yao, na kujisikia kukubalika k**a sehemu ya familia moja ya kanisa. Kupitia michezo, vizazi vinaunganishwa, vipaji vinaibuliwa, na uongozi wa baadaye unaandaliwa ,
michezo ni furaha na ni daraja la mahusiano, na njia salama ya kuwavuta vijana karibu na kanisa na karibu zaidi na Kristo. Kwa sababu tunapocheza pamoja, tunajifunza kuishi pamoja; tunaposhirikiana uwanjani, tunajenga kanisa lenye afya nje ya uwanja. Huu si mchezo tu ni uwekezaji wa vizazi vijavyo. ⚽🤝🔥

Mtag Mtu ambae unatamani kumuona ❤
Mimi natamani
Kuwaona Wazee wangu

Ndugu zangu

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dodoma