Academic Success Coach -TZ

Academic Success Coach -TZ

Share

Ni mbobezi katika elimu ya ualimu na mshauri wa maswala ya kitaaluma.

Photos from Academic Success Coach -TZ's post 08/09/2022

Kozi fupi tunayo iendesha Chuo Kikuu Cha Dodoma, kuongeza mafanikio ya kitaaluma kwa wanafunzi wa vyuo Tanzania

Utangulizi: Academic Success Coach 06/09/2022

https://youtu.be/cXrjoECglt4

Utangulizi: Academic Success Coach Maelezo kuhusu Chaneli ya Academic Success Coach:Kujiunga nasi kati YouTube kwa ku subscribe, like na kubonyeza Bel button na Facebook like page yetu na ku J...

27/08/2022

Chuo kikuu cha Dodoma kinakualika katika kozi ya kumuandaa mwanachuo na Elimu ya Chuo Kikuu (Higher Education Academic Success) . Kozi hii itakupa ufahamu mkubwa Juu ya TEHAMA (ICT proficiency) na namna ya ufunzaji(learning skills), uandishi(writing skills) na mengine mengi. Kozi hii itafanyika tar 1 -15/10/2022 awamu ya kwanza na tar 17-30/10/2022 awamu ya pili. Tupe nafasi ya kukuepusha na kufeli elimu yako ya chuo kikuu. Kwa maelezo Zaidi piga namba 0655637188

Want your school to be the top-listed School/college in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


P. O Box 490 Dodoma
Dodoma
41218