Numeric Digital

Numeric Digital

Share

At Numeric Digital, we strive to bring you insightful stories.

RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA, KANISA LA JIMBO KUU KATOLIKI 13/12/2025

https://www.youtube.com/live/ynPDNpc-MPI?si=8lPGo8Y2mVPxQsQR

RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA, KANISA LA JIMBO KUU KATOLIKI IBADA YA KUMUAGA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA, KANISA LA MWENYE HERI MARIA THERESA , JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA

15/11/2025

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

Ameziagiza hospitali zote nchini zihakikishe wajawazito wanapofika hospitali wahudumiwe kwa haraka ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.

Photos from Numeric Digital's post 12/11/2025

NUMERIC SPORTS I Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, ametangaza kuwa yuko kwenye hatua za mwisho za safari yake ya soka, akionyesha kuwa Kombe la Dunia 2026 huenda likawa fainali yake ya mwisho uwanjani, akiwa na umri wa miaka 40.

Ronaldo amesema amekuwa akijiandaa kwa maisha baada ya soka kwa muda mrefu, tangu akiwa na miaka 35, jambo linaloonesha utayari wake wa kuhamia kwenye sura mpya ya maisha.

Aidha, Ronaldo anakaribia kufikisha magoli 1,000 katika maisha yake ya soka,lengo ambalo amekuwa akiliwekea binafsi.

Safari yake inashangaza wengi, si tu kwa mafanikio yake uwanjani, bali pia k**a mfano wa maandalizi ya maisha baada ya soka.

Want your business to be the top-listed Media Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Dar Es Salaam
0255