UhuruStore
SPIRULINA
🔑-Ni kirutubisho cha asili kisicho na kemikali
kilichotengenezwa kwa mimea ya baharini ijulikanayo k**a Arthrospira Plant,
kidonge kimoja cha spirulina ni sawa na mtu aliyekula kilo moja ya matunda na kilo moja ya mboga za majani.
Spirulina ina trace elements na minerals k**a vile K, na Ca, Mg, Fe, Zn, Cu, Se n.k.Ina vitamin B1,B2,B3,B6 na B9 pia ina vitamin C,D,A, na K.
Spirulina ni chakula bora na kamili cha ziada kwa watu wa umri na aina zote za maisha(nutritional supplements). Spirulina ina vimeng’enya vya kutosha na ina protini hadi kufikia 70% zilizo kamili na zinazoyeyuka kwa kiasi kikubwa.
Kirutubisho hiki husaidia kutunza afya, kuunguza mafuta ndani ya mwili na kuuweka mwili katika hali nzuri.
Faida za kutumia Spirulina:
👉Inaongeza damu mwilini kwani ina kiwango kikubwa cha madini ya chuma(iron),pia wanaokosa hamu ya kula inawafaa
👉Huongeza nguvu mwilini(energizer),
👉Ni kisafishaji cha asili(detoxification) huondoa sumu mwilini
👉Hutoa mlo kamili kwa wakubwa na wadogo,
👉Hupunguza hatari ya kupata kansa, na wenye kansa huzuia isisambae zaidi
👉Hupunguza kiwango cha kolestero na hatari ya ugonjwa wa moyo,
👉Inaweka sawa vichocheo vya mwili,huongeza kumbukumbu nzuri kwa watoto umri wa shule na wazee wanaosumbuliwa na kumbukumbu au ubongo kuchoka
👉husaidia wanaosumbuliwa na tumbo la hedhi, kichefuchefu, mood change etc
👉wanaosumbuliwa na fungus kwa muda bila suluhu hii inaua fungus na bacteria kwenye damu
👉inatibu magonjwa sugu ya ini, ikiwa pia inatibu homa ya ini
👉Husaidia kuongeza kinga za mwili(CD4),utafiti umethibitisha huongeza kinga ya mwili haraka zaidi
👉Inarekebisha kiwango cha sukari mwilini,
👉Kusaidia kuweka mafuta na sukari ndani ya mwili kwenye viwango kizuri,
👉Ni nzuri pia kwa watu wenye vidonda vya tumbo,
👉Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,
👉Inasaidia kwa wajawazito kumpatia mtoto virutubisho akiwa tumboni.
👉Ni nzuri sana kwa matumizi ya watu wa rika zote (watoto,vijana mpaka wazee).
Bei ni Tsh 49,000 ambapo utapata vidonge 100! mg500
KWA USHAURI NA MAHITAJI YA KIRUTUBISHO HIKI MUHIMU KWA AFYA BORA YA MWILI WAKO
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA
+255 737 934 533
📍KEKO-DSM
Follow us:
UhuruStore Your Favorite Store
15/02/2023
ELIMU YA BURE:🥰
👌🏼JAMANI HIZI NI VITAMINS LICHA YA KUTIBU PIA UNAWEZA UKATUMIA K**A KINGA YA MAGONJWA MBALIMBALI,
NDIOMANA UNASHAURIWA MTOTO WAKIKE KUTUMIA VITAMINS WALAU MARA MOJA PINDI UMALIZAPO SIKU ZAKO AU BAADA YA KUMALIZA TENDO,
SABABU KATIKA MATUKIO HAYO MAWILI PH INASHUKA SANA.
NA PH IKISHUKA NDIO INAKUWA RAHISI KUPATA MAGONJWA MBALIMBALI,
HIVYO K**A USIPOWEKA SAWA PH YAKO KWA KUTUMIA HIZI VITAMINS UTAJIKUTA KILA SIKU UNASUMBUKA NA MAGONJWA YA UKENI🤗
🎀FAIDA ZA VA**NA VITAMINS🎀
🍀INAONDOA KABISA HARUFU MBAYA UKENI
🍀KUKAUSHA MAJI MACHAFU UKENI
🍀FUNGUS
🍀INATIBU MUWASHO UKENI
🍀WENYE TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU K**A MTINDI
🍀MAUMIVU WAKATI WA HAJA NDOGO ( k**a umepakwa pilipili)
🍀INATIBU YEAST INFECTIONS
🍀KUTOKWA DAMU BAADA YA HEDHI
☘️KUBALANCE PH UKENI
🍀KUKOMA HEDHI
🍀HORMONAL IMBALANCE
🍀HEAVY MENSTRUAL CYCLE
🍀HUTIBU U.T.I SUGU
🍀KIBOKO YA P.I.D
🍀 BACTERIAL VAGINITIS BV
🍀VITAMINS ZINARUDISHA NA KUONGEZA HISIA NA MSISIMKO WAKATI WA TENDO HATA KWA WALE AMBAO HAWASIKII RAHA YOYOTE
👌🏼GUARANTEED NATURAL 100%🌿 (matokeo ni ndani ya masaa 48)
😍 PIA IMEJARIBIWA NA KUPENDEKEZWA NA MADAKTARI BINGWA!
👇🏻
👇🏻
❤HII NDIO DAWA PEKEE YA ASILI YENYE UHAKIKA 100% NA IMETIBU WANAWAKE ZAIDI YA 1,000 MPAKA SASA 😍😍🙏🏽🙏🏽
!
👉🏼KOPO MOJA LA VITAMINS NI TSH 25,000
👉🏼MAELEKEZO YA JINSI YA KUTUMIA UTAPATIWA KULINGANA NA TATIZO AU HITAJI LAKO
📦Pia tunafanya delivery kote kwa gharama za mteja🇹🇿( unalipia kulingana na ulipo)
📍Tunapatikana KEKO (kituo-DDC), Dar es Salaam
KWA MAELEZO ZAIDI
WhatsApp / CALL
+255 737 934 533
AU
0626827850
FOLLOW US:
Uhuru Store]]
Uhuru Store]]
Uhuru Store]]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |