Ngulelo,oldadai
01/01/2026
Happy new year wangwana popote mlipo . Umeanza mwaka ukiwa wapi
Ngulelo center ukiangalia Kwa umbali utapazarau sana ,utakachoona ni old houses na barabara za matope za Atari ,but on the other hand,hi center Ina mzunguka mkubwa sana wa ela , apa inategemewa na watu sasii ,oldadai, bangata , na mitaa za jirani , watu wa huku wengi ni wacha mungu kila jioni utawakuta wanashuka kwenye maombi ,vijana wa uku r so focused, most of them regardless what they r doing ,utaskia amejenga kwake au ana michakato ya kujenga , sio rahisi kupata mdada au mama Ambae hachachariki ,wengi wao wapo kwenye biashara za masokoni wako very busy 👏, ww unajua nn kuhusu ngulelo?
07/07/2024
Tumepoteza kijana
01/03/2024
Poleni sana Wana ngulelo na bangata Kwa kupoteza kijana ,nilimjua kipindi anaendesha Noah za ngulelo bangata sijui kapatwa na nn ila mungu amlaze pema
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha