Prophet Boaz

Prophet Boaz

Share

08/05/2026

JUMAPILI HII, UTAKUTANA NA YESU USO KWA USO. Maisha yako hayatabaki k**a yalivyo.!!

23/04/2026

Najua majaribu ni makali k**a moto,ila nakuombea imani yako izidi kuongezeka.

16/03/2026

WAFUATAO WANAFUTWA MACHOZI WIKI HII.

●Wiki ya wale wanaomngoja Bwana bila kuchoka.
●Wiki ya wale waliozulumiwa haki zao kwa nguvu.
●Wiki ya wale wote walioonewa,kuteswa na kutelekezwa.
●Wiki ya sadaka zako zote kukumbukwa na Bwana .
●Wiki ya wafungwa wa Kiroho na kimwili kuachiwa.
●Wiki ya kupanda na kuvuka katika udongo mzuri.
●Wiki ya kutafuta na kuona

ASEMA BWANA WA MAJESHI ‼️

Niliyekuletea unabii ni mimi mtumwa wa Bwana, Nabii Elibariki Boaz

fans

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha