The Arusha Auto Show

The Arusha Auto Show

Share

Also doing ArushaOffroading
Two Main Events - ArushaDust in dry season, ArushaMud in rainy/wet season. Also doing OutSideWorld, a weekend driving trips, stunts, checks and training event organised time after time.

05/06/2026

Arusha Auto Show For Everybody!

Arusha Auto Show inakupa fursa kuona kazi za watu, vilevile kuonesha kazi zako.
'Kazi' ni kazi zinazohusiana na mambo yote ya magari - maana halisi ya "Maonesho ya Magari Arusha"

Ikiwa wewe ni fundi, mmiliki wa gari, mshabiki ama mfanyabiashara, hapa ndio mahali pako.
Kutana na wenzako, jifunze mambo na vitu vipya, pata Hamasa na ari mpya, tengeneza 'network' na watu wa aina yako - wapenda-magari.

Arusha Auto Show ni kwaajili ya kila aina ya gari, haibagui, haichagui - unaweza sema Arusha Auto Show For Everybody!

Tarehe ni ile ile
Septemba 5 - 6, 2026
Magereza Grounds - Kisongo

Tembelea 🌍 www.arushaautoshow.com

📸 .nunes05

Photos from The Arusha Auto Show's post 20/05/2026

Arusha Auto Show TEST DRIVES

Moja ya kitu tofauti sana kwenye Arusha Auto Show ni nafasi ya ku-Test Drive Magari Mapya.

Ikiwa ni show ya kibiashara, kampuni za magari - k**a ilivyo kwa show nyingine k**a hizi duniani - hutumia fursa kuonesha na kutambulisha magari yao mapya kwa wateja watarajiwa. Na hili hufanyika kwa kuwapa watu waonje ladha ya gari kwa kuendesha, lakini pia kulikagua kwa undani ikiwa kwenye maonesho.

Mwaka 2025 , chapa mpya ya gari linaloingizwa nchi I Tanzania chini ya lilikuwa 'Nyota wa Mchezo'

Arusha Auto Show sababu ni 'Outdoor Car Show', ina eneo kubwa la kufanya hizi Test Drives, iwe magari ama pikipiki.

Septemba 5 - 6, 2026 pale Magereza Grounds - Kisongo, Test Drive itatolewa na chapa gani? Je, itakuwepo kupata nafasi?

Want your business to be the top-listed Autos & Automotive Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Arusha

Opening Hours

Saturday 09:00 - 19:00
Sunday 08:00 - 20:00