Earthwonder exp.

Earthwonder exp.

Share

27/05/2026
28/01/2026

Makosa niliyofanya nilipoanza biashara ya BnB part 01

Wahenga wanasema kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosašŸ˜… si lazma urudie makosa yangu k**a unafikiria kuinvest kwenye biashara hii

NB: never ignore red flags

29/12/2025

Ukiwa k**a mteja unayehitaji malazi kwenye bnb jitahidi kufahamu hizi tips zitakusaidia

šŸ Idadi ya Vyumba
——Kulingana na idadi ya watu mliopo
——aina ya vyumba mfano: master bedroom/ensuite room ziwe ngapi

šŸ Location
-Fahamu unahitaji iwe karibu na maeneo gani au mtaa gani ili ufurahie zaidi au iwe rahisi kwako kikazi /matembezi

šŸ Tarehe
-Fahamu au eleza kwa host unahitaji kucheck in tarehe ngapi na utatoka tarehe ngapi hii itamsaidia host

-Na ikiwa tayari umecheck in kwenye bnb na ukahitaji kuongeza siku za kukaa mjulishe host siku moja/mbili kabla ili asipokee booking nyingine na wewe ikuondolee usumbufu

šŸ Uliza maswali
-ikiwa una maswali muulize host kabla ya kukamilisha booking yako
-usi assume tu vitu flani vitakuwepo wakati hujauliza au hujaona kwenye picha au video

-Hakikisha umeuliza na umepata majibu ya maswali yako na umeridhika ndipo ufanye booking

-uliza ikiwa kuna policy yoyote ya after booking (cancellation/refund)

Want your business to be the top-listed Business in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha
255