Smart Shooting - Arusha Page
Your all welcome
Smart Shooting - Arusha Page RANGE: Every SUNDAY - 10am - 04pm TMA - Dhahabu Resort - Monduli. MAZOEZI YA KULENGA SHABAHA: Kila J
Hit the target (BULL) and win a bottle of Champagne,
Tomorrow Nov.25 we will have a special Champagne Day to all Shooters, for anyone who will hit the target (BULL) will get a free bottle of Champagne, don’t miss this……. at TMA Dhahabu Resort – Monduli from 10.00am.
200Mts (Scope), Mts 100 (Open Sight), 25Mts (Pistol).
Katika mazoezi ya Shabaha kesho Novemba 25 itakuwa ni siku maalum ya Champagne ambapo kila atakayeweza kulenga tageti BULL atapata zawadi ya chupa ya Champagne….Usikose!
18/11/2012
RANGE EXERCISES Nov. 18.2012.
MAZOEZI YA SHABAHA Nov. 18.2012.
Salaam,
Tunawapongeza wote waliofika katika Mazoezi ya Kulenga Shabaha yaliyofanyika TMA Dhahabu Resort Monduli, tarehe 18.11.2012. Tunakushukuru na Karibisha Wengine.
MAZOEZI:
Mazoezi ya Shabaha yaliyofanyika yalikuwa ya Mita 5, Mita 15 na Mita 20 (Pistol). Mita 50 (Shotgun) na Mita 100 (Rifle - Scope/Open Sight).
Washindi wa Pistol kwa wale walioshiriki mashindano ni k**a ifuatavyo;
MITA – 15 – Pistol: 1. Gamshad Gumdust, 2. Muktah Balyao, 3. Abdulsatar Hassan, 4. Naqib Hassan, 5. Taj Aziz, 6. John Faida Buluma, 7. Christopher Kamili.
MITA – 25 – Pistol: 1. Abdulsatar Hassan, 2. Gamshad Gamdust, 3. Mukhtar Bolyao , 4. Taj Aziz, 5. John Faida Buluma, 6. Christopher Kamili. MITA – 100 – Scope: 1. Abdulsatar Hassan, 2. Gamshad Gamdust.
MITA – 100 – Open Sight: 1. Gamshad Gamdust, 2. Abdulsatar Hassan.
WIKI IJAYO – Nov. 25.2012.
Kutakuwa na mazoezi kuelekea Mashindano ya Desemba 9.2012, ambayo yamebakiza wiki mbili (Novemba 25 na Desemba 2). Mashindano yatafanyika Arusha katika viwanja vya TMA – Dhahabu Resort, zawadi za Desemba 9 zitatokana na udhamini utakao patikana hivyo tunakaribisha wadhamini wa aina yoyote ili kufanikisha Mashindano haya.
MASHINDANO.
Jina: “The Arusha 2012 Range Championship”.
Kauli Mbiu ya Mashindano haya ni;
1. Kusherehekea Miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania).
2. Kupiga vita Uwindaji Haramu.
Fomu za kushiriki Mashindano haya zitakuwa tayari kuanzia tarehe 21 November, kwa wale wanaohitaji fomu za kushiriki wanaweza kututaarifu kwa kupitia anuani yetu ya barua pepe ya [email protected] au kwa njia ya face book.
WAGENI MASHUHURI: Wageni Mashuhuri watakaofika katika mashindano haya watatangazwa kadri siku zinavyokwenda.
Tafadhali usikose wiki Ijayo Novemba 25.2012, Karibuni Sana.
Picha zaid bofya hapa,
http://www.facebook.com/media/set/?set=a.353761308053992.80994.346280765468713&type=1

11/11/2012
WASHINDI WA KULENGA SHABAHA:
RANGE WINNERS - NOV. 11.2012
TMA - Dhahabu Resort - Monduli - Arusha
ORGANIZED BY: Smart Shooting
SPONSORED BY: MANJIS GAS & RADIO WAVE COMMUNICATIONS LTD.
Salaam,
Tunatoa Shukrani za Dhati kwa WADHAMINI wetu wawili wiki hii Novemba 11. 2012, MANJIS GAS na RADIO WAVE COMMUNICATIONS LTD kwa kutoa zawadi kwa Washindi wa Mita 25 Pistol na Mita 100 Rifle (Open Sight). Jumla ya Washiriki 15 walishindana kwenye Pistol na Washiriki 10 katika Rifle.
Mshindi wa Pistol alikuwa Abdulsatar Hassan kwa Points - 42 na alipata zawadi ya Jiko la Gesi na Mtungi wake toka Manjis Gas.
Mshindi wa Mita 100 (Open Sight) alikuwa Hanif Hayat kwa Points 78 na akapata zawadi ya GPS kutoka RADIO WAVE COMMUNICATIONS LTD.
Washindi wengine Pistol - Namba: 2 - Hassanal H. Ladak, No.3 - Hussein Sajan, No.4 - Sibtain Ladak, No.5 - Owen Maganga na Frank Muna (walifungana), No.6 - Issah Mohamed na Jerry Mburi (walifungana).
Washindi wengine mita 100 (Open Sight) No. 2 - Sibtain Ladak, No. 3 - Frank Muna, No. 4 - Hassanal Ladak, No. 5 - Abdulsatar Hassan, No. 6 - Hussein Sajani, No. 7 - Gamshad Gamdust, No. 8 - Jerry Mburi, No. 9 - Rizwan Sajan.
Mashindano yalikuwa magumu kidogo kwa sababu ni mara ya kwanza na pia kutokana na hali ya hewa ila Uongozi wa Smart Shooting unapenda kuwapongeza wote walioshiriki mashindano haya na wale wote walioofika kwenye Mazoezi.
Mashindano Makubwa yatafanyika siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania) siku ya tarehe 9. Desemba 2012. Usikose! Na endelea kufika kwa ajili ya Mazoezi.
KARIBU UTEMBELEE ALBAM YA TUKIO ZIMA HAPA CHINI
http://www.facebook.com/media/set/?set=a.351258244970965.80304.346280765468713&type=1
Tunatoa Shukrani za Dhati kwa WADHAMINI wetu wawili wiki hii Novemba 11. 2012, MANJIS GAS na RADIO WAVE COMMUNICATIONS LTD kwa kutoa zawadi kwa Washindi wa Mita 25 Pistol na Mita 100 Rifle (Open Sight). Jumla ya Washiriki 15 walishindana kwenye Pistol na Washiriki 10 katika Rifle. Mshindi wa Pistol alikuwa Abdulsatar Hassan kwa Points - 42 na alipata zawadi ya Jiko la Gesi na Mtungi wake toka Manjis Gas. Mshindi wa Mita 100 (Open Sight) alikuwa Hanif Hayat kwa Points 78 na akapata zawadi ya GPS kutoka RADIO WAVE COMMUNICATIONS LTD. Washindi wengine Pistol - Namba: 2 - Hassanal H. Ladak, No.3 - Hussein Sajan, No.4 - Sibtain Ladak, No.5 - Owen Maganga na Frank Muna (walifungana), No.6 - Issah Mohamed na Jerry Mburi (walifungana). Washindi wengine mita 100 (Open Sight) No. 2 - Sibtain Ladak, No. 3 - Frank Muna, No. 4 - Hassanal Ladak, No. 5 - Abdulsatar Hassan, No. 6 - Hussein Sajani, No. 7 - Gamshad Gamdust, No. 8 - Jerry Mburi, No. 9 - Rizwan Sajan. Mashindano yalikuwa magumu kidogo kwa sababu ni mara ya kwanza na pia kutokana na hali ya hewa ila Uongozi wa Smart Shooting unapenda kuwapongeza wote walioshiriki mashindano haya na wale wote walioofika kwenye Mazoezi. Mashindano Makubwa yatafanyika siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania) siku ya tarehe 9. Desemba 2012. Usikose! Na endelea kufika kwa ajili ya Mazoezi.

Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
P. O. Box, 1798 Arusha
Arusha