GIBO URIO
There are many kinds of love, but many people seek its expression in a romantic relationship with a compatible partner (or partners).
24/05/2021
Unachukia kupiga picha?
Wewe ni mmoja wa watu wasiopenda kuonekana kwenye picha? K**a ni NDIO basi jua kabisa unatakiwa ubadilike na uanze kupiga picha. Ukienda mahali haujawahi kufika wewe piga picha, umekutana na rafiki usipuuzie kupiga picha.
Kwanini upige picha? Jibu ni rahisi tu, Picha ni mojawapo ya vitu vinavyotunza kumbukumbu na kutukumbusha vitu ambavyo vimepita na havitajirudia.
Mfano: hii picha ilipigwa miaka k**a miwili iliyopita, nimeiona leo kwenye status, inanikumbusha tukio la kupatana, tulikutana garden tukaongea then after kupatana ndio siku hii picha ilipigwa japo sikumbuki k**a ni mimi nilipiga au ni yeye. Lkn hii picha inanikumbusha tukio la siku hiyo.
19/09/2019
Daaaaaaaaaaaahhh!!!! Yamenikuta haya maana niliyotarajia kuyamaliza na kuyakamilisha mwaka huu naona k**a nitafeli na sitaweza kuyakamilisha. Hivyo nikawa nimeanza kupunguza ili mipango mingne nikamilishe mwakani panapo ujaiweka na majaliwa, ila nimepita mahali nikakutana na hii na inabidi nikomae tu kwa kwel
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
1434ARUSHA