Tanfoam Limited

Tanfoam Limited

Share

03/07/2026

Godoro ni moja...kwa miaka 60 ya ubora,ubunifu na mahusiano.
Tanfoam..Alinunua babu...mpaka mjukuu analitumia!
Fika kwenye DU yetu iliyo karibu nawe, tuendelee kukujenga katika usingizi bora

21/06/2026

Nguvu ya baba haionekani tu kwenye kazi anayofanya, bali pia kwenye uvumilivu wake wa kila siku kwa ajili ya familia yake. Na ili kuendelea kuwa imara, mwili unahitaji mapumziko bora.

Tanfoam tunahakikisha kila baba anapata usingizi wenye starehe na msaada sahihi wa mwili ili aamke akiwa tayari kwa majukumu ya kesho.

Hongera kwa Siku ya Baba! Happy father's day!!

18/06/2026

Lala kwa amani kisha amka ukiwa mpya.
Huu ndiyo utofauti wa magodoro ya Tanfoam,utulivu,starehe na ubora wa kipekee,unangoja nini?wahi sasa kwenye duka letu lililokaribu nawe au DM ama tukupigie kukuunganisha na wakala aliye karibu nawe.

04/06/2026

Tanzania!!!, ahsante kwa kutuamini! Ubora wa bidhaa za Tanfoam umeendelea kupatikana pande zote nchini Tanzania. Kwa mahitaji ya kufahamu wakala ama duka la Tanfoam lililo karibu nawe usisite kutuma ujumbe mfupi kupitia namba ama kitufe cha WhatsApp kilichopo kwenye kurasa zetu za jamii au DM zetu na tutakuhudumia.

Want your business to be the top-listed Interior Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


13092
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 13:00