Vivid Solutions
20/02/2025
Hithium Power backup. Hiki ni kifaa cha kuhifadhia umeme cha kilowatt 1 na kinabebeka kwa urahasi. kinafaa kwa shughuli mbali mbali na hata mahala ambapo umeme haufiki. Kinawasha vifaa vingi vya electoniki vya nyumbani, k**a tv, laptop, simu na vingine. Slide ya mwisho inaonyesha mfano wa muda wa matumizi kwa kila kifaa utakacho tumia. Betri yake ni aina ya Lifepo4 za Lithium ambazo zinadumu kwa muda mrefu. Kifaa hiki kinapatikana kwa bei ya Tsh 1,150,000. Karibuni tupigie simu kwa maelezo zaidi. Free delivery ipo
04/05/2015
150 lb Black Hunting Crossbow Bow + 4x20 Scope +12 Arrows / Bolts 180 175 80 50...only $350.00
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Address
Shoprite
Arusha