VIPODOZI NA HAMIS

VIPODOZI NA HAMIS

Share

Photos from VIPODOZI NA HAMIS's post 05/07/2019

ZINDUKA OOOOOO

Vitu viwili pekee vinaweza kukufanya uangalie simu yako na kusmile hivi.

1.Offers babkubwa
2.Vingine vingine tu mfano ujumbe wa upendo kutoka kwa flani😂😄😀

🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀🤸🏻‍♀
Ni furaha niliyonayo nikiona watu ninaofanya nao biashara k**a wanafamilia wanafurahia matunda ya kuijua hii biashara..
Hii inanipa hamasa ya kukwambia na wewe pia ujiunge na timu yangu.

NDIO WEWE👉🏼
Tutabasamu pamoja😁
Huku ukienjoy offers Babkubwa,faida ya pesa na furaha tukijituma pamoja.
K**a umependa sema NDIO kwenye comment.

Vitu k**a hivi vinaondoa hali yoyote ile mfano kujisikia vibaya,kichwa kuuma,stress n.k😁😁😁😁

JIBU NI NDIO?

Photos from VIPODOZI NA HAMIS's post 10/01/2019

❣ JINSI YA KUTUNZA NYAYO ZAKO❣

Hii unaweza kujifanyia Mara moja kwa wiki...
Jaribu hata nyumbani kwako..
Ni rahisi.
📌Unaweza kuipa ngozi yako ya miguu treatment hata ukiwa nyumbani...

*Mahitaji*
▪Maji ya uvuguvugu
▪mafuta asilia k**a ya n**i, olive oil/wonder oil
▪Brush/cha kusugulia miguu
▪cream ya miguu.
▪foot mask

👉Anza kwa kusafisha miguu yako vizuri kwa brush/wengine wamezoea vijiwe ni sawa , Suuza na ikaushe.

📌Paka *Foot mask*
Hii ina kazi kubwa sana ya kuipa ngozi ya miguu unyevuvyevu, tena kwa mtu mwenye miguu mikavu hii ni super amazing., Kaa na foot mask kwa dakika 15..suuza miguu vizuri kabisa....
📌Weka maji yako ya uvuguvugu kwenye beseni,weka mafuta asilia matone hata 5 kadiria tu kidogo loweka miguu yako humo kwa dk 15 mpaka 30...Relax kabisa....

📌Toa miguu yako..jisugue taratibu na brush.Suuza. Kausha miguu na paka cream ya miguu./wonder oil/Olive oil/Ya n**i

📌Na hivyo ndivyo utakuwa umeitunza ngozi yako ya miguu...Fanya walau mara moja kwa wiki...utaifurahia miguu yako zaidi.Itakua laini..hutapata magaga..na haitatoa harufu(tunaoshindia viatu vya kufunika)

PIA.
✔Kwenye maji unaweza kamulia ndimu kidogo au kuikatia k**a pichani..
✔unaweza tupia chumvi kidogo ..
👉ni kinga ya Fungus..& sugu kutokana na viatu..etc.
▪Ni rahisi na unawenza kumfanyia mwenza wako,mkaboresha mahusiano❣
✔Vitu hivi vidogo hujenga memory nzurii..

Tuwajali watu tuwapendao.

Pia unaweza mfanyia mama mjamzito.
Hasa wale wanaovimba miguu..utakua umemsaidia..
Wakati wa kupaka mafuta nyayo..paka k**a unafanya massage..

Mzungushe kwenye ankle..na nyosha vidole..
✔Utasaidia mzunguko wa damu vyema zaidi
✔ni tiba nzuri kwa wanaopataga ganzi miguuni
✔miguu /nyayo itakua lainii.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha
Arusha
0624010912

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:07
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00