P-Simple Software and Videos

P-Simple Software and Videos

Share

31/03/2019

Pata hdd za ukubwa tofauti..

11/02/2016

Tarehe 28 mwezi huu tunatoa key za antivirus mbili. Unaweza kuchagua moja iwe ya computer au simu au tablet. Unachotakiwa kufanya ili kushiriki: 1. comment aina antivirus unayoitaka. 2. Share page hii katika wall yako (hakikisha umelike hii page) 3. Atake share na watu wengi zaidi ndio mshindi na tutampa key za antivirus aliyocomment.

Photos 19/10/2015

Tunawakaribisha wote wenye wazo/mawzo yakuwa na studio (duka la kutoa huduma za movie na nyimbo k**a kuuza cd, dvd, kuweka kwenye memory cards, ipod, flash, external harddisks n.k) kuwa tunatoa huduma ya ushauri, uwekaji wa software zote kwa ajili ya kuanza biashara, movies, seasons, yimbo, pictures, n.k. kwa gharama nafuu kabisa. Pia tutakushauri tekniki za kibiashara ilikufikia mafanikio mazuri. Tuma sms au piga namba hizi kwamaelezo zaidi +255-765-741-591

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


ARUSHA-MIANZINI
Arusha
3081