House Of Prayer Ministries Int
06/05/2026
❗️TANGAZO MUHIMU❗️
SIKU 14 ZA UTUKUFU
(Kufunga & Kuomba)
14 DAYS OF GLORY
(Fasting & Prayer)
KILA SIKU JIONI SAA KUMI TUNAKUTANA MADHABAHUNI
Ni dharura kwa Agizo la Bwana.
Ni siku za Kumkaribia Bwana zaidi kwa Maombi ya Kumaanisha pamoja na kutoa sadaka kila siku.
TUNAOMBEA
1)Wewe
2)Familia yako na kila kitu kuhusu wewe.
MAELEKEZO MENGINE TUTAKUWA TUNAPEWA MADHABAHUNI KILA SIKU.
N:B.KUMBUKA NI MAOMBI YA KUMAANISHA SANA NA HAKIKISHA HUKOSI.
House Of Prayer Ministries Int
Moshi - Kilimanjaro | Nyuma Ya Sekondari Ya Kiboriloni.
📞+255 743 010 082
Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
23101