Ownnationtours

Ownnationtours

Share

Nearby travel agencies

Jovial Safaris
Jovial Safaris
Arusha/

18/04/2016

MFAHAMU NYANGUMI
[WHALE]

(1)moyo wa nyangumi una kilo 600
(2]mtoto wa nyangumi ananyonya lita 600 kila siku ikiwa ni mwaka wa kwanza tu
[3]mtoto wa nyangumi anakuwaga na uzito wa ki 2700 ambao ni sawa na kifaru mkubwa saizi ya mwisho
[4]uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa na tani 200 adi 300 mmoja jike alikamatwa na kupimwa alikutwa na kilo 171000
[5]ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito wa tembo mkubwa
[6]mdomo wa nyangumi unauwezo wa kuifazi tani 90 za chakula na maji akiufungua mpaka mwisho
[7]chakula kikubwa cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku
[8]ili nyangumi ashibe zaidi anakula kilo 3600
[9]nyangumi anaweza kuishi miaka zaid ya 250
[10]baazi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa gusa pembeni
[11]ukubwa wa nyangumi unaweza kuwa zaidi ya ndege aina ya
[12]urefu wa nyangu unakadiriwa kuwa mita 30mpaka 50 uki muweka ardhini urefu wake ni sawa na urefu utakao jitokeza baada ya kuya panga magari 9 ya familia, alie kamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita 33
[13]nyangumi ndiye mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote hapa duniani hutoa sauti kali sana kipimo cha ambayo inaweza kusikika umbali wa kilo mita 848 ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndgege kubwa aina ya JET inapo anza kupaa ambapo kipimo cha sauti ya JET ni wa ajabu sana akaona nyangumi amtupe baharini asi ishi ardhi nakuacha na swali JE ardhi na bahari kipi kimechukua sehemu kubwa hapa duniani. Imeandikwa na Robinson # from different sources.,,

SHARE NA WENGINE WAJIFUNZE KITU

Photos from Ownnationtours's post 03/12/2015

Proudly Tanzanian Tanzania National Parks (TANAPA)

Photos 23/11/2015

Welcome to Tanzania for authentic adventure and cultural experience.

Mobile uploads 22/09/2015

Birdwatching with lovebirdsexpediation.

Want your business to be the top-listed Travel Agency in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Erick91robison24@gmail. Com
Arusha