Christian Ntevi

Christian Ntevi

Share

22/01/2026

ile pesa yako uliyoipata, kwa njia halali, najua unatenga mafungu, najua fungu la sadaka lipo, ushauri wangu: K**a ikatokea mambo yamekuwa magumu ukaanza kupunguza vitu, USIONDOE SADAKA,maana hiyo ndiyo chanzo cha hayo mengine (huitwa mbegu)

Biblia Habari Njema 01/12/2025

Yeremia 23:30-32
30. Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nitawashambulia manabii ambao wanaibiana maneno yangu. 31. Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’. 32. Naam, mimi Mwenyezi-Mungu nasema kuwa nitawashambulia manabii wanaotabiri ndoto zao za uongo kwa watu wangu, na kuwapotosha kwa uongo wao na kuropoka kwao. Mimi sikuwatuma wala kuwaamuru waende; kwa hiyo hawatawafaa watu hao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Biblia Habari Njema

29/11/2025

Moja kati ya maajabu ya MANA ni kwamba ikiokotwa ijumaa ikaliwa na kusazwa, kilichosazwa hakikuchacha, ila siku zingine mfano jtano kilichacha

Biblia Habari Njema 15/11/2025

Yeremia 9:2-3 Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, ambamo ningewaacha watu wangu na kwenda zangu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Wote ni watu wazinzi, ni genge la watu wahaini. Hupinda maneno yao k**a pinde; wameimarika kwa uongo na si kwa haki. Huendelea kutoka uovu hata uovu, wala hawanitambui mimi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Biblia Habari Njema

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha
0000