Peter Spirit
Huu ni ukurasa unaomilikiwa na mtu binafsi lengo likiwa ni kutuma habari kupitia blogs,account au kurasa mbalimbali ili kufahamishana taarifa zinazotokea kila siku.Pia unaweza kutangaza biashara yako kupitia ukurasa huu au blog ya www.planetmwamba.blogsport.com.Furahia ukurasa huu kuanzia sasa......
15/03/2026
Today is My Birthday 🎉
I am truly grateful to God for the gift of life, good health, and another beautiful year added to my journey.
Thank you to everyone who supports, loves, and cares for me. I appreciate you all more than words can say.
Happy Birthday to me! 🎂🙏
Usikose kusikiliza kipindi cha Tanzanite Fleva ndani ya Savvy Fm 105.3 kuanzia mida ya saa 7 mchana hadi saa 10 jioni. Kwenye Exlusive Interview nipo na wanangu na wasanii wanaofanya poa sana.
Cc
05/01/2026
Happy Birthday 🎂 🥳 🎉 My Lovely Daughter ,ukaongezeke maradufu katika maisha yako na mafanikio yako, mimi baba yako nakupenda sana.
08/12/2025
SIO MUHIMU LAKINI KATIKA MAISHA YANGU YOTE YA DUNIANI SIJAWAHI KULA BAGA WALA PIZZA 🍕 😆🙃
VIPI ULISHAWAHI KULA HIZO VITU?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Musician, Song Writer And Actor From East Africa, Media Personality, Journalist @sunriseradiotz 94. 9 Fm Arusha, Producer/Editor Of Entertainment Program
Arusha
INGODITRUST