Green herbs
25/05/2017
JE, WAJUA VISABABISHI NA DALILI ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA MAYAI(OVIDUCTS)?
Leo acha nikudokeze kidogo tu kwanza kwamba, mirija ya mayai inapoziba, yai hushindwa kukutana na mbegu ya mwanaume na kutungisha mimba.
Zipo aina mbili za uzibaji wa mayai :
1. Mirija kuziba upande wa mwisho jirani na vifuko vya mayai.
2. Kushik**ana Kwa mirija ya mayai kutokana na hali ya makovu ndani na nje ya mfumo wa uzazi na kusababisha sehemu ya vidole vya mirija vinavyoshika mayai kujikunja.
VISABABISHI
1.Maambukizi ndani ya kizazi hasa baada ya Kutoa au kuharibika Kwa mimba, ama baada ya kujifungua.
2. Hali ya uvimbe ndani ya mirija kutokana na maambukizi ya vimelea aina ya Chlamydia, nk.
3. Maambukizi ya viungo vya uzazi ambayo kitaalamu wanaita, "Pelvic Inflammatory Diseases (PID).
DALILI ZAKE
1.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
2. Kutokwa na uchafu ukeni aidha ukiwa na harufu au muwasho.
3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
4. Siku za hedhi kuvurugika
5. Maumivu ya tumbo la chini upande wa kulia au kushoto
6. Kutokushika mimba
JE, NINI SULUHISHO?
Redeemer ndio suluhisho pekee la kuziba Kwa mirija ya uzazi.
James Sanitarium Clinic tunapatikana Arusha maeneo ya Kwa Mworombo. Kwa mawasiliano tupigie Kwa namba hizi: 0752 389 252/0712 181 626.
Dar esalaam Kigogo Polisi: 0768221346/0683221346/0658221346
Mtwara, Lindi, Songea,Ruvuma: 0752416341
Email: [email protected]
Karibuni sana, na Mungu awabariki
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Morombo
Arusha
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 18:00 |
| Tuesday | 07:00 - 18:00 |
| Wednesday | 07:00 - 18:00 |
| Thursday | 07:00 - 18:00 |
| Friday | 07:00 - 18:00 |
| Saturday | 07:00 - 18:00 |
| Sunday | 07:00 - 18:00 |