AFYA TIPS

AFYA TIPS

Share

🎯 Mtaalam wa matatizo ya mmeng’enyo.
🔥 Acid Reflux | Gesi Tumboni | Koo | Vidonda Tumbo | Bawasili*
🥗 Lishe bora kwa afya njema*
*📲 WhatsApp kwa ushauri: +255742211518*

11/06/2026

Kiungulia cha mara kwa mara si jambo la kupuuza. Dalili ndogo leo zinaweza kugeuka kuwa tatizo kubwa kesho. Chukua hatua mapema, linda afya ya koo na mfumo wako wa chakula.

08/06/2026

Muda wote unakuwa umechoka
Hii hali mara nyingi kwa watu wenye Acid huwa inawakuta sana
Changamoto huanzia kwenye misuli
Je hali hii inakukuta!?

29/05/2026

Kwa mfano:
Kula mafuta mengi, vyakula vya kukaanga na soda kila siku kunaweza kuanza kuharibu tumbo, ini, moyo au kuongeza uzito polepole.
Kuruka milo, kula usiku sana au kula ovyo kunaweza kusababisha matatizo k**a acid reflux, vidonda vya tumbo, sukari au presha baadae.
Kutokula matunda, mboga na kunywa maji ya kutosha huathiri kinga ya mwili na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
Vivyo hivyo, ukila vizuri leo:
Mwili hujijenga taratibu,
Kinga huimarika,
Ngozi, nguvu na afya ya ndani huboreka baada ya muda.
Kwa kifupi: “Matokeo ya ulaji si ya siku moja — mwili hukumbuka unavyoula kila siku, na baada ya miaka ndipo athari kubwa huonekana.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00