boundlesslifeministry

boundlesslifeministry

Share

You have a need and you need prayers for God's intervention, you can contact us through available means

04/05/2026

Bible citation
Yohana 6:1-14

04/05/2026

Bible citation
John 4:46-54

20/04/2026

Matarajio ni kile ambacho una uhakika kitatokea kwa sababu ya kanuni uliyotumia.

13/04/2026

Mambo yatakayokusaidia kuufanya mwaka huu uwe tofauti na miaka iliyopita.
* Lazima ufanye mambo kwa namna tofauti la sivyo hautaona tofauti kwenye maisha yako.
Wewe umeumbwa ili kuutawala ulimwengu wako na si kutawaliwa.
Ndani ya Kristo unatawala katika uzima. Warumi 5:17
Unatarajiwa utawale mazingira, hali, matokeo na ulimwengu wako.
Mahali pa kuanzia ni kutawala nafsi yako. Ukiweza kutawala nafsi yako utaweza kutawala maisha yako.
Uwezo wa kutawala tayari uko ndani yako, ni wajibu wako kuujenga!

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Arusha