Football Dictionary
Our service is to provide sports updates & news
The goal is to preserve sporting events in one place as memory
*Football dictionary Youtube*
https://www.youtube.com/channel/UCTHX0XbXb28rR7GrcJiCJKw
26/07/2021
SIMBA YATIMIZA LENGO, YATWAA UBINGWA WA FA
Simba imetawazwa mabingwa wa Michuano Azam Sports Federation Cup baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Yanga(1-0) katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika(Kigoma).
Simba wametwaa ubingwa wa Azam Sports Federation Cup pamoja na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara
Goli la simba lilifungwa dakika ya 77 na kiungo Taddeo Lwanga kwa kichwa baada ya kumalizia mpira wa kona uliopigwa na Luis Miquissone.
22/07/2021
JE WAJUA?
Pedro anabaki kuwa mchezaji pekee katika historia kushinda mataji na makombe mengi yakiwemo👉️ Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi ya Europa, Kombe la Super European, Kombe la Dunia la Klabu, EURO na Kombe la Dunia. 🏆
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha
00000