AFYA TIBA
YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE} #
{HEMORRHOIDS/PILE #
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
CHA BAWASIRI #
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito
ZA BAWASIRI #
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)
YA BAWASIRI #
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika
Call➖ &sms➖ 👇
0782909211
0753258365
Sharing is caring
SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏
03/05/2023
UpVyanzo vya kuharibika kwa mimba kuanzia miezi zero mpaka miezi mitatu.
1. Sababu ya kwanza ni kitendo cha homoni kutokuwa sawa kwa sababu katika kipindi hiki ni wakati ambao homoni nyingi uwepo Ili kuhakikisha kazi mbalimbali zinafanyika k**a vile kutengeneza kondo la nyuma k**a homoni haziko sawa mimba inaweza kutoka.
2. Sababu za vinasa Saba
Hizi ni sababu ambazo uchangiwa na wazazi wenyewe anaweza kuwa baba au mama , ndio usababisha mimba kutoka kwa kipindi hiki.
3. Matumizi ya dawa kiholela.
Kuna tabia ya kutumia dawa kiholela bila kupata ushauri wa daktari katika kipindi hiki hasa akina Mama wengi uchanganya madawa Kuna madaw ya kienyeji na ya hospital hasa matumizi ya madawa ya malaria , usababisha mimba kutoka.
4. Maambukizi ya magonjwa.
Kuna tabia ya maambukizi ya magonjwa k**a vile kisonono, kaswende na maambukizi kwenye mlango wa kizazi k**a maambukizi haya hayakugundukika mapema na kitibiea usababisha mimba kutoka.
5. Pia Kuna maambukizi kwenye mfuko wa uzazi.
Kuna wakati mwingine maambukizi kwenye mfuko wa uzazi usababisha mimba kutoka kwa sababu unakuta sehemu mbalimbali za kizazi zimeshambuliwa hali ambayo usababisha mimba kutoka.
6. Kuwepo kwa uvimbe.
Pia na hili ni Mojawapo ya tatizo kwa Sababu k**a kwenye mfuko wa uzazi Kuna uvimbe mama hawezi kubeba mtoto kwenye mfuko huo kwa sababu utakuta uvimbe huo unashika sehemu mbalimbali ambapo mtoto anapaswa kuwepo.
7. Uvutaji wa sigara kupita kiasi na unywaji wa pombe kupita kiasi usababisha mimba kutoka kwa sababu ya kuwepo kwa ni****ne na kemikali mbalimbali za pombe.
8. Kufanya kazi ngumu na kubeba mizigo mizito.
Pia kazi ngumu Nazo usababisha kutoka kwa mimba kwa sababu ni vigumu kabisa mimba kustahimili kwa mama anayefanya kazi hizo ngumuVyanzo vya kuharibika kwa mimba kuanzia miezi zero mpaka miezi mitatu.
1. Sababu ya kwanza ni kitendo cha homoni kutokuwa sawa kwa sababu katika kipindi hiki ni wakati ambao homoni nyingi uwepo Ili kuhakikisha kazi mbalimbali zinafanyika k**a vile kutengeneza kondo la nyuma k**a homoni haziko sawa mimba inaweza kutoka.
2. Sababu za vinasa Saba
Hizi ni sababu ambazo uchangiwa na wazazi wenyewe anaweza kuwa baba au mama , ndio usababisha mimba kutoka kwa kipindi hiki.
3. Matumizi ya dawa kiholela.
Kuna tabia ya kutumia dawa kiholela bila kupata ushauri wa daktari katika kipindi hiki hasa akina Mama wengi uchanganya madawa Kuna madaw ya kienyeji na ya hospital hasa matumizi ya madawa ya malaria , usababisha mimba kutoka.
4. Maambukizi ya magonjwa.
Kuna tabia ya maambukizi ya magonjwa k**a vile kisonono, kaswende na maambukizi kwenye mlango wa kizazi k**a maambukizi haya hayakugundukika mapema na kitibiea usababisha mimba kutoka.
5. Pia Kuna maambukizi kwenye mfuko wa uzazi.
Kuna wakati mwingine maambukizi kwenye mfuko wa uzazi usababisha mimba kutoka kwa sababu unakuta sehemu mbalimbali za kizazi zimeshambuliwa hali ambayo usababisha mimba kutoka.
6. Kuwepo kwa uvimbe.
Pia na hili ni Mojawapo ya tatizo kwa Sababu k**a kwenye mfuko wa uzazi Kuna uvimbe mama hawezi kubeba mtoto kwenye mfuko huo kwa sababu utakuta uvimbe huo unashika sehemu mbalimbali ambapo mtoto anapaswa kuwepo.
wa sigara kupita kiasi na unywaji wa pombe kupita kiasi usababisha mimba kutoka kwa sababu ya kuwepo kwa ni****ne na kemikali mbalimbali za pombe.
#. Kufanya kazi ngumu na kubeba mizigo mizito.
Pia kazi ngumu Nazo usababisha kutoka kwa mimba kwa sababu ni vigumu kabisa mimba kustahimili kwa mama anayefanya kazi hizo ngumu kwaushauri namatidabu nasa kwanamba 0753258365 #
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Kaloleni
Arusha