Saraah Functioning

Saraah Functioning

Share

09/05/2022

Karibu tukusaidie kupungua uzito
Wasiliana nasi kwa namba 0717160021

Photos from Saraah Functioning's post 29/03/2022

LIJUE TATIZO LA PRESSURE KWA UNDANI VISABABISHI VYAKE NA TIBA YAKE

Matatizo mengi ya pressure na magonjwa ya moyo huanza taratibu na chanzo kikubwa ni mafuta ambayo huganda kwenye mishipa
ya damu na moyo. Mafuta haya hutokana na vyakula
tunavyokula kila siku ikiwemo, nyama, pombe n.k.
👉Baada ya muda mishipa ya damu hujaa mafuta na hivyo kushindwa kupitisha damu kwa kiwango kinachotakiwa. Hii hupelekea moyo kuanza kusukuma damu kwa nguvu ili kulazimisha damu ya kutosha iweze kuzunguka mwilini.

👉Hii Ndio hupelekea mtu kuanza kupata magonjwa ya pressure ya kupanda. Na kwakua moyo unatumia nguvu nyingi kusukuma damu, hupelekea moyo kutanuka na hivyo kupunguza ufanisi wake.

NINI KIFANYIKE

👉Kuepuka vyakula vya nyama hasa nyama nyekundu

👉Kuepuka mafuta mengi kwenye vyakula
👉Kupunguza pombe, nyama choma na misupu isiyo ya lazima.

👉Kuhakikisha unakua na kiwango sahihi cha cholesterol mwilini.

Kupata mlo wenye samaki na olive oil (mafuta ya mzeituni) kila siku. Kwasababu Somali K**a wa salmon fish pamoja na mafuta ya mizeituni huwezesha kuondoa mafuta mabaya via yaliyoganda kwenye mishipa ya damu na moyo.

Mafuta ya SAMAKI ni muhimu sana katika mwili wa bianadamu kiafya. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa Bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema kwa sababu ya utumiaji wa samaki mwenye mafuta yenye kiambata aina ya Omega3.

Vile vile Utafiti ulifanywa kwanini WAJAPANI hawaugui magonjwa ya KANSA, KISUKARI na MAGONJWA YA MOYO... ikaonekana kwamba wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini, ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama!

K**a unatatizo la mafuta mengi kwenye moyo na mishipa ya moyo usisite kuwasiliana nasi
Kwa 0717160021

28/03/2022

ZINGATIA LISHE NZURI ITAKUSAIDIA KUBORESHA AFYA YA UZAZI NA KUBEBA UJAUZITO KWA URAHISI.

1: pendelea kutumia chai ya tangawizi, mchai chai, Mdarasini na weka Asali.

2:kwenye mlo wako Punguza zaidi wanga, mafuta, mboga za majani zakutosha, samaki,dagaa, soya, K**a ugali Dona.

3: Tumia zaidi karanga, unga wambegu za maboga kwenye mboga zako.

4:Matunda muhimu zaidi, tumia maparachichi, ndizi zakuiva, tikiti maji la kutosha.

5:Juice ya mboga mboga za majani nzuri pia.

🔸Epuka: kutumia vinywaji vya viwandani, pombe Kali,
🔸Pia epuka kutumia Madawa makali holela, Epuka matumizi ya uzazi wa mpango kiholela, bila ushauri.

🔸NB:Hakikisha maradhi yanayoshambulia mfumo wako wa uzazi unajitibia kwa kupata Tiba sahihi kwa wakati ili kupata matokeo ya Haraka zaidi,

🔸Ukiwa natatizo lolote la uzazi linakusumbua tuwasiliane DM/ inbox Whatsapp 0717160021

25/03/2022

YES INAWEZEKANA kupungua tumbo tuu bila kuharibu sehemu yoyote ya MWILI
Wasiliana nasi kwa namba 0717160021

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Njiro
Arusha