Pnk Health solutions
Karibu Pnk health solution, tunajihusisha na kutatua changamoto za kiafya na ushauli wa changamoto zifuatazo, PRESHA aina zote, SUKARI ya aina zote, mifupa, kinga ya mwili, bawasiri, nk
27/03/2022
JE, UNATAMANI KUITWA MAMA!!!!? TAMBUA KUWA UKIWA NA TATIZO MIONGONI MWA HAYA NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO AU UKISHIKA NI RAHISI MIMBA KUHARIBIKA;
0763 538 084
📍Homon Imbalance
📍Chango
📍Uvimbe
📍PID
📍Fangasi za Mara kwa Mara
📍Kuziba kwa Mirija ya Uzazi
📍Makovu kwenye Ovari
📍Hedhi kukoma mapema
UKIONA DALILI HIZI CHUKUA HATUA MAPEMA KWANI NI DALILI MBAYA KWAKO UNAYEHITAJI MTOTO
👉Hedhi kupishana
👉Kutokwa damu chache kipindi Cha hedhi
👉Hedhi kutoka nyingi Sana
👉Maumivu makali sanaa kabla au baada tu ya hedhi
👉Kutopata hedhi
👉Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
👉Hedhi kuruka miezi
👉Hedhi kujirudia ndani ya mwezi mmoja
👉Kutopata hamasa ya tendo la ndoa
👉Kuhisi Mara kwa Mara Hali ya ujauzito ukipima haipo
✍️✍️✍️✍️..... *ikiwa wewe ni mama na unahitaji mtoto na una changamoto moja ya hizo zilizo tajwa hapo juu hakikisha inaanza dose hivi karibuni 🤝*
*Namba ni ile ile ya kutumia ili kuwasiliana nami kwa ushauri zaidi piga simu / 0763 538 084* au link
Pnk Health Solution Business Account
03/03/2022
*MZUNGUKO MBOVU WA DAMU CHANZO CHA UDHAIFU KWA BINADAMU*
*Damu ni kimiminika mhimu katika mwili kwani hufanikisha shughuli nyingi za msingi kimwili zikiwemo;*
*1️⃣. Kusafirisha virutubusho kutoka katika mfumk wa chakula kwenda katika seli*
*2️⃣. Kusafirisha hewa ya oksijeni kutoka katika mapafu kwenda katika ubongo na sehemu zingine*
*3️⃣. Kujaza misuli ya mwili ili mwili ufanye kazi vizuri*
*4️⃣. Kusawazisha uwiano wa maji mwilini.*
*Hivyo basi mzunguko mbovu wa damu mwilini huathiri •Upumuaji •Kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu*
*•Mfumo wa hewa katika ubongo*
*•Msukumo wa damu katika viungo vya uzazi*
*•Mfumo wa hisia na hamu ya tendo la ndoa*
*•Uzalishaji wa mbegu katika kiwanda cha uzazi*
*MICRO2 CYCLE AFYA YAKO*
*Kwani inasaidia kuongeza ufanisi wa kazi ya Moyo, afya ya ganzi, kurekebisha homoni, kulisha seli za uzazi na kuimarisha misuli ya mwili*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Kaloleni
Arusha