KKKT -DKAK

KKKT -DKAK

Share

07/05/2024

Mkuu wa KKKT Dayosisi ya kaskazini Kati Askofu Dkt.Godson Abel Mollel akizungumza ofisini kwake yenye makao yake jijini Arusha mara baada ya kutembelewa na mkuu wa mkoa wa Arusha Paul makonda
Askofu Dkt Godson Mollel ameitaka serikali kusimamia haki na kurejesha haki iliyoporwa aidha aliongezea kwa kusema wajibu wa kiongozi yeyote katika jamii,katika serikali na kanisa ni kusimamia haki.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Indian Street
Arusha