greenafya
31/07/2021
EPUKA: Athari Za PID.
Endapo k**a hazitachukuliwa tahadhari za mapema kujitibu ugonjwa huu, athari yake ni kubwa sana kiafya.
Zifuatazo ni athari za PID k**a haitatibika mapema.
↔Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara .
↔Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa hupelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa
↔Mirija ya uzazi kuharika na kuziba
↔Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
↔Ugumba kwasababu mbegu mwanaume hushindwa kufika kurutubisha yai.
↔Vimbe ndogo ndogo ambazo zina weza kusababisha saratani.
***
Tuna mengi ya kuji funza Endelea kutembelea kurasa zetu like comment na share
Au wasiliana nami kwa ushauri zaidi piga simu 0685716621
Green Afya
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha
23301