Neema Digestive Hub
Neema Degestive Hub tunatoa suluhisho kwa changamoto zote za mmengโenyo wa chakula Kama bawasili, acid reflux ,vidonda vya tumbo, constipation , presha na sukari.
Je, unajisikia kawaida lakini mwili wako unakutumia ishara za hatari?
โ ๏ธ Hizi ni dalili 5 za sukari ambazo watu wengi huzipuuzia:
1. Kiu kupita kiasi Unakunywa maji mara kwa mara lakini bado unahisi kiu.
2. Kukojoa mara kwa mara Hasa usiku, unaamka kwenda chooni mara nyingi kuliko kawaida.
3. Uchovu wa mara kwa mara Unahisi kuchoka hata k**a hujafanya kazi nzito.
4. Kuona kwa ukungu Macho yanapoteza umakini au kuona siyo vizuri k**a kawaida.
5. Vidonda kuchelewa kupona Jeraha dogo linachukua muda mrefu kupona.
๐จ Dalili hizi hazimaanishi moja kwa moja una kisukari, lakini ni ishara zinazostahili kufuatiliwa na kupimwa.
โ ๏ธ Unajikuna sana sehemu ya haja kubwa hasa usiku?
Watu wengi hudhani ni jambo la kawaida, lakini wakati mwingine inaweza kuwa ishara ya changamoto ndani ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia hali hii ni:
โ
Minyoo tumboni
โ
Usafi duni wa sehemu za siri na haja kubwa
โ
Muwasho unaosababishwa na ngozi kuwa nyeti
โ
Baadhi ya matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo
Ikiwa hali hii inaendelea mara kwa mara, ni muhimu kutafuta ushauri wa kitaalamu mapema.
๐ Usisubiri tatizo liwe kubwa ndipo uchukue hatua.
๐ Fuata Neema Digestive Hub kwa elimu zaidi kuhusu afya ya tumbo, utumbo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
"Je, muwasho huu hukusumbua zaidi usiku au mchana? Andika 'NDIYO' nikutumie maelezo zaidi."
โ ๏ธ Kuwashwa au maumivu unapokaa muda mrefu SI jambo la kupuuza!
Watu wengi hudhani ni kawaidaโฆ kumbe inaweza kuwa dalili za Bawasili ๐ณ
Dalili nyingine: โ Maumivu wakati wa haja kubwa
โ Damu baada ya choo
โ Kuwashwa sehemu ya haja kubwa
Usisubiri hali iwe mbaya ๐จ
๐จ Damu kwenye choo SI kawaida! Inaweza kuwa Bawasili inayohitaji uangalizi mapema.
Usipuuze dalili hizi: โ Maumivu wakati wa haja kubwa
โ Kuwashwa sehemu ya haja kubwa
โ Damu baada ya choo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Address
Arusha