Mount Meru School
07/10/2024
Our students at Tarangire National Park
19/12/2023
Mount Meru School tumeanza usajili kwa ajili wa Shule ya Awali na Msingi kwa mwaka 2024.
Waalimu wapo wa kutosha na wenye kufundisha kwa maadili bora.
Wanafunzi wote wanapata huduma ya chakula cha asubuhi saa nne na mchana. Usafiri pia unapatikana.
Mpatie mtoto wako fursa hii leo akafundishwe na walimu wabobezi na wanaomwezesha mwanafunzi kukamilisha ndoto zake za Elimu.
Tupigie 0766285757 kwa maelezo zaidi.
Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha